DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kwa watu wanolewa Universe inavyofanya Kazi , wanaelewa kuwa universe huzungumza kupitia sauti za watu wasiofahamiana vyema.
Mfano ukiona MTU hakujui wala wewe haumjui Ila ukaa nae akasema kuwa wewe unafaa kuwa kiongozi.
Endapo utakutana na watu Kama hao mara kwa Mara ujue wewe ni kiongozi kweli.
Hivyo Mwaka 2015 watu wa Mifumo kuanzia serikalini na Ccm walifanya kosa kubwa kumnyima Edward Lowassa nafasi ya Urais.
Lowassa alipitishwa na universe na nchi nzima kila kona alikuwa anaimbwa yeye tu.
Niseme tangi siasa zianze hakujawahi kuwepo Mgombea anayekubalika na kupendwa kama Lowassa.
Kitendo cha kumfanyia hujuma ndo Leo tunalipa gharama .
Na tutalipa gharama hadi pale yututakapoelewa Universe inafanyaje Kazi.