Mwaka 2015 Rais alibidi awe Edward Lowassa, kitendo cha kumnyima nafasi ya Urais ndio kimesababisha yote haya

Mwaka 2015 Rais alibidi awe Edward Lowassa, kitendo cha kumnyima nafasi ya Urais ndio kimesababisha yote haya

Yule alikuwa anakubalika kwa tabaka Fulani na ndo alibidi kuwa Rais mwaka 1985 Ila Nyerere akabidi awasikilize wazee na wananchi .

Nyerere alimtaka Salim Ila wananchi walimtaka Mwinyi.

Kwanini walimtaka Mwinyi ?

Kwakuwa alishakuwa Rais wa Zanzibar na mabadiliko yalikuwa Makubwa sana.
Hua inasikitisha kuona kiongozi kama yule Alikosa urais mara mbili wa Tanzania na pia alikosa ukatibu mkuu was UN mara mbili kwasababu za kijinga tu. Hua Kuna msemo unasemwa kuwa Tanzania iliwahi kuwa na Rais ambaye hakuwahi kuapa.
 
Lowassa amekuja kupata umaarufu zaidi 2008 baada ya wapinzani kuanza kumuimba majukwaani kutokana na kashfa ya ufisadi. Kinyume na hapo jina la Lowassa lilikuwa la kawaida sana kama vile kina Samwel Sitta nk
Ukizungumzia Urais wa Kikwete Kuna majina lazima yatajwe hapa iwe ilikuwa 1995 au 2005.... Rostam Aziz, Samwel Sitta na Edward Lowasa bila hawa Kikwete asingewahi kukanyaga ikulu.
 
Ukizungumzia Urais wa Kikwete Kuna majina lazima yatajwe hapa iwe ilikuwa 1995 au 2005.... Rostam Aziz, Samwel Sitta na Edward Lowasa bila hawa Kikwete asingewahi kukanyaga ikulu.
Soma vizuri hoja yangu. Hapo nimemtaja Lowassa, Sitta nk.
Neno "Na kadhalika" haulijui maana yake? Sio lazima niwataje wote ndomaan nikasema nk.

But still miaka yote hiyo ya 95 na 2005 Kikwete alikuwa ni maarufu kushinda wenzake.
 
Back
Top Bottom