DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
, yes nilikuepo Ila Lowassa UPEPO wake ulikuwa ni Mara 2 ya wa kikweteWakati wa Kikwete 2005 ulikuwepo? Alikuwa na upepo mkali kuliko Lowassa
Upepo wa Lowassa ni man made baada ya kutengeneza network ila wa JK ulikuwa unakuja naturally, yes nilikuepo Ila Lowassa UPEPO wake ulikuwa ni Mara 2 ya wa kikwete
Mmh kikwete yule hakuwa na UPEPO wowote isipokuwa alipata wapinzani dhaifu Kama Lipumba na Mbowe na Mlema.Upepo wa Lowassa ni man made baada ya kutengeneza network ila wa JK ulikuwa unakuja naturally
Vipi kuhusu Salim Ahmed SalimKwa watu wanolewa Universe inavyofanya Kazi , wanaelewa kuwa universe huzungumza kupitia sauti za watu wasiofahamiana vyema.
Mfano ukiona MTU hakujui wala wewe haumjui Ila ukaa nae akasema kuwa wewe unafaa kuwa kiongozi.
Endapo utakutana na watu Kama hao mara kwa Mara ujue wewe ni kiongozi kweli.
Hivyo Mwaka 2015 watu wa Mifumo kuanzia serikalini na Ccm walifanya kosa kubwa kumnyima Edward Lowassa nafasi ya Urais.
Lowassa alipitishwa na universe na nchi nzima kila kona alikuwa anaimbwa yeye tu.
Niseme tangi siasa zianze hakujawahi kuwepo Mgombea anayekubalika na kupendwa kama Lowassa.
Kitendo cha kumfanyia hujuma ndo Leo tunalipa gharama .
Na tutalipa gharama hadi pale yututakapoelewa Universe inafanyaje Kazi.
Yule alikuwa anakubalika kwa tabaka Fulani na ndo alibidi kuwa Rais mwaka 1985 Ila Nyerere akabidi awasikilize wazee na wananchi .Vipi kuhusu Salim Ahmed Salim
Huyu walimnyima urais mwaka 1985 na 2005 inasikitisha sana.Vipi kuhusu Salim Ahmed Salim
Kipenzi cha NyerereHuyu walimnyima urais mwaka 1985 na 2005 inasikitisha sana.
Mleta mada haujui kuwa Kikwete alikuwa na jina toka enzi za utawala wa Nyerere. Kikwete alichaguliwa na Nyerere kufundisha siasa jeshini sio kwa bahati mbaya. Kikwete alishika nafasi mbali mbali chini ya Mwinyi sio kwa bahati mbaya. Kikwete alim'bwaga Mkapa katika kinyang'anyiro cha kupitishwa kugombea uraisi mwaka 95, hadi Nyerere akaingilia kati kumuomba asubiri awamu nyingine sio kwa bahati mbaya.Mmh kikwete yule hakuwa na UPEPO wowote isipokuwa alipata wapinzani dhaifu Kama Lipumba na Mbowe na Mlema.
No comment Ila hiyo ipo wazi Kama ya .....Vp upepo wa mama Samia?
Unamaanisha upepo wa kuchunwa?, yes nilikuepo Ila Lowassa UPEPO wake ulikuwa ni Mara 2 ya wa kikwete
We unaishi SA ungekuwepo Tz ungeonaUnamaanisha upepo wa kuchunwa?
Mwaka 2015 watu walimtengenezea upepo ili watafune hela zake. Ndomana baada ya uchaguzi kuisha, na hela kuisha wakambwaga kama gunia la misumari.
narrative ni influential technique katika siasa, lakini wenye mamlaka ya kuamua nani awe kiongozi wao ni wananchi siku ya kura.Kwa watu wanolewa Universe inavyofanya Kazi , wanaelewa kuwa universe huzungumza kupitia sauti za watu wasiofahamiana vyema.
Mfano ukiona MTU hakujui wala wewe haumjui Ila ukaa nae akasema kuwa wewe unafaa kuwa kiongozi.
Endapo utakutana na watu Kama hao mara kwa Mara ujue wewe ni kiongozi kweli.
Hivyo Mwaka 2015 watu wa Mifumo kuanzia serikalini na Ccm walifanya kosa kubwa kumnyima Edward Lowassa nafasi ya Urais.
Lowassa alipitishwa na universe na nchi nzima kila kona alikuwa anaimbwa yeye tu.
Niseme tangi siasa zianze hakujawahi kuwepo Mgombea anayekubalika na kupendwa kama Lowassa.
Kitendo cha kumfanyia hujuma ndo Leo tunalipa gharama .
Na tutalipa gharama hadi pale yututakapoelewa Universe inafanyaje Kazi.
Porojo za alinacha. Hv km huna cha maana ukikaa kimya nini kinakusumbua? Sasa upupu km huu wa niniKwa watu wanolewa Universe inavyofanya Kazi , wanaelewa kuwa universe huzungumza kupitia sauti za watu wasiofahamiana vyema.
Mfano ukiona MTU hakujui wala wewe haumjui Ila ukaa nae akasema kuwa wewe unafaa kuwa kiongozi.
Endapo utakutana na watu Kama hao mara kwa Mara ujue wewe ni kiongozi kweli.
Hivyo Mwaka 2015 watu wa Mifumo kuanzia serikalini na Ccm walifanya kosa kubwa kumnyima Edward Lowassa nafasi ya Urais.
Lowassa alipitishwa na universe na nchi nzima kila kona alikuwa anaimbwa yeye tu.
Niseme tangi siasa zianze hakujawahi kuwepo Mgombea anayekubalika na kupendwa kama Lowassa.
Kitendo cha kumfanyia hujuma ndo Leo tunalipa gharama .
Na tutalipa gharama hadi pale yututakapoelewa Universe inafanyaje Kazi.
Kumbe ni mtoto tena mwenye uwezo mdogo? We tulia jifunze kwanza. Km si Nyerere Kikwete angekuwa Rais kuanzia 1995. Kikwete ht leo anawapiga mbali wanasiasa tulio nao. Kikwete anaijua siasa we dogo.Mmh kikwete yule hakuwa na UPEPO wowote isipokuwa alipata wapinzani dhaifu Kama Lipumba na Mbowe na Mlema.
USiliamini sana sanduku la kura,Kwani wapiga kura si ndio wanaoamua??