Mzee wa kazi ngumu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 849
- 2,550
Hua inasikitisha kuona kiongozi kama yule Alikosa urais mara mbili wa Tanzania na pia alikosa ukatibu mkuu was UN mara mbili kwasababu za kijinga tu. Hua Kuna msemo unasemwa kuwa Tanzania iliwahi kuwa na Rais ambaye hakuwahi kuapa.Yule alikuwa anakubalika kwa tabaka Fulani na ndo alibidi kuwa Rais mwaka 1985 Ila Nyerere akabidi awasikilize wazee na wananchi .
Nyerere alimtaka Salim Ila wananchi walimtaka Mwinyi.
Kwanini walimtaka Mwinyi ?
Kwakuwa alishakuwa Rais wa Zanzibar na mabadiliko yalikuwa Makubwa sana.
Ukizungumzia Urais wa Kikwete Kuna majina lazima yatajwe hapa iwe ilikuwa 1995 au 2005.... Rostam Aziz, Samwel Sitta na Edward Lowasa bila hawa Kikwete asingewahi kukanyaga ikulu.Lowassa amekuja kupata umaarufu zaidi 2008 baada ya wapinzani kuanza kumuimba majukwaani kutokana na kashfa ya ufisadi. Kinyume na hapo jina la Lowassa lilikuwa la kawaida sana kama vile kina Samwel Sitta nk
Soma vizuri hoja yangu. Hapo nimemtaja Lowassa, Sitta nk.Ukizungumzia Urais wa Kikwete Kuna majina lazima yatajwe hapa iwe ilikuwa 1995 au 2005.... Rostam Aziz, Samwel Sitta na Edward Lowasa bila hawa Kikwete asingewahi kukanyaga ikulu.
Ukawa, yes nilikuepo Ila Lowassa UPEPO wake ulikuwa ni Mara 2 ya wa kikwete