Mwaka 2019 nilinusurika kupokea kichapo kutoka kwa mabaunsa wa mbunge sugu

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,315
Reaction score
13,269
Wakuu shobo mbaya aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae

Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa

Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato Dodoma kula nyama, wenyeji hapa mjini nadhani mnayajua hayo maeneo

Tumekaa zetu tunapiga mbuzi choma mixer kachumbali, ghafla Mh sugu na Prof Jay wakaingia maeneo tulipokuwa tumeketi jirani kabisa meza ya pembeni alikuwa na wadada wawili wazuri hatari

Nikasema ngoja niwafuate nikapige nao picha namimi nitambe huko insta, bhana bhana bhana ile nimewakaribia tu wakatokea majitu makubwa hatari mabaunsa yameshiba haswa kama wale wacheza mieleka mmoja akataka kunikata kofi ikabidi nitoke nduki nikaacha nyama choma na kachumbari siku ikawa imeharibika

Sijui wale mabaunsa walitokea wapi

Niwasanue tu wakuu hasa hasa wstu wa mikoani wenzangu mkiona mtu maarufu huko mjini msishoboke mtaumia

Nawasilisha
 
Kanuni mjini ni moja tu kama pi’ MIND YOUR OWN BUSINESS… sio una muona mtu na mitikasi yake unaanza shabby , shabby kumbe mwenzio anaitwa pastor Joshua
 
Wakuu shobo mbaya aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae

Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa

Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato Dodoma kula nyama, wenyeji hapa mjini nadhani mnayajua hayo maeneo

Tumekaa zetu tunapiga mbuzi choma mixer kachumbali, ghafla Mh sugu na Prof Jay wakaingia maeneo tulipokuwa tumeketi jirani kabisa meza ya pembeni alikuwa na wadada wawili wazuri hatari

Nikasema ngoja niwafuate nikapige nao picha namimi nitambe huko insta, bhana bhana bhana ile nimewakaribia tu wakatokea majitu makubwa hatari mabaunsa yameshiba haswa kama wale wacheza mieleka mmoja akataka kunikata kofi ikabidi nitoke nduki nikaacha nyama choma na kachumbari siku ikawa imeharibika

Sijui wale mabaunsa walitokea wapi

Niwasanue tu wakuu hasa hasa wstu wa mikoani wenzangu mkiona mtu maarufu huko mjini msishoboke mtaumia

Nawasilisha
Nakumbuka kabla Sugu hajawa Mbunge alishawahi kunishobokea Nilikua na demu wangu wa Kizungu 🤣
Mwaka 2009 maeneo ya Sinza Afrika Sana
 
Back
Top Bottom