Mwaka 2019 nilinusurika kupokea kichapo kutoka kwa mabaunsa wa mbunge Sugu

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,315
Reaction score
13,269
Wakuu shobo mbaya sana aisee!!

Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae

Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa

Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato Dodoma kula nyama choma, wenyeji mjini nadhani mnayajua hayo maeneo kwani huko nyama huuzwa kama nguo zinavyouzwa mnadani kwa bei chee

Tumekaa zetu tunapiga mbuzi choma mixer kachumbali, ghafla Mh sugu na Prof Jay wakaingia maeneo tulipokuwa tumeketi jirani kabisa meza yetu wao walikuwa pembeni walikuwa na wadada wawili wazuri hatari

Nikasema ngoja niwafuate nikapige nao picha tens ikibidi selfie ksbisa iwe kama vile sugu ni jamaa yangu namimi nitambe huko insta, bhana bhana bhana ile nimewakaribia tu wakatokea majitu makubwa hatari mabaunsa yameshiba haswa kama wale wacheza mieleka si mnamjua big show na The great khalii ? Nawao walikuwa na miili ya namna hiyi , mmoja akataka kunikata kofi ikabidi nitoke nduki nikaacha nyama choma na kachumbari na mazaga mengine siku ikawa imeharibika,

Sijui wale mabaunsa walitokea wapi, hawakuwepo kabisa sijui ni mizimu ile dah!

Niwasanue tu wakuu hasa hasa watu wa mikoani wenzangu, mkiona mtu maarufu huko mjini mfano hawa wabunge , wakuu wa mikoa kama yule wa chuga au wasanii mbali mbali msishoboke mtaumia

Nawasilisha msije kusema sikuwaambia
 
Wakuu shobo mbaya sana aisee!!

Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae

Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa

Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato Dodoma kula nyama choma, wenyeji mjini nadhani mnayajua hayo maeneo kwani huko nyama huuzwa kama nguo zinavyouzwa mnadani kwa bei chee

Tumekaa zetu tunapiga mbuzi choma mixer kachumbali, ghafla Mh sugu na Prof Jay wakaingia maeneo tulipokuwa tumeketi jirani kabisa meza yetu wao walikuwa pembeni walikuwa na wadada wawili wazuri hatari

Nikasema ngoja niwafuate nikapige nao picha namimi nitambe huko insta, bhana bhana bhana ile nimewakaribia tu wakatokea majitu makubwa hatari mabaunsa yameshiba haswa kama wale wacheza mieleka si mnajua big show na The great khalii ? Nawao walikuwa na miili ya namna hiyi , mmoja akataka kunikata kofi ikabidi nitoke nduki nikaacha nyama choma na kachumbari na mazaga mengine siku ikawa imeharibika,

Sijui wale mabaunsa walitokea wapi, hawakuwepo kabisa sijui ni mizimu ile dah!

Niwasanue tu wakuu hasa hasa watu wa mikoani wenzangu, mkiona mtu maarufu huko mjini mfano hawa wabunge , wakuu wa mikoa kama yule wa chuga au wasanii mbali mbali msishoboke mtaumia

Nawasilisha msije kusema sikuwaambia
Ndio mkome!Si upige na jamaa zako.
 
Back
Top Bottom