Uchaguzi 2020 Mwaka 2020 Naenda na Rais Magufuli nani yuko pamoja nami

Sikupiga kura ya Urais. Narudia tena lile kosa lilikuwa ni FUNZO kubwa sana. Maccm yanayotaka kuhamia Chadema yahamie tu lakini si kwa matarajio ya kugombea ubunge au Urais kwa tiketi ya Chadema ITAKULA KWAO.

Ulimpigia Nani!??
Chadema hujawajua vizuri.
Atatokea mtu atawadanganya..
Wewe utafanyaje kuhakikisha halijirudii!??
Au ndio nyie mnawasimamisha[emoji12][emoji14][emoji85].?
 
Sikupiga kura ya Urais. Narudia tena lile kosa lilikuwa ni FUNZO kubwa sana. Maccm yanayotaka kuhamia Chadema yahamie tu lakini si kwa matarajio ya kugombea ubunge au Urais kwa tiketi ya Chadema ITAKULA KWAO.
Hembu niambie ukweli brother ..
Na wewe upo pale kwenye kuteua wa kusimama[emoji85]?
 
Umevurugwa wewe ndondocha
 
Nenda kafanye kazi uzembe wewe! Hata haibubhuna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…