The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Pole sana Mkuu.Kumpoteza mzee wangu.
Poole saana.1. March kuugua na kupona Corona.
2. April nyumba yangu (sio yangu ninapokaa) kuungua moto sijatoa ata kijiko
3. Nov Kushindwa kugraduate Chuo.
...
Ili li mwaka shufwa liende tu.
sitasahau neema na baraka zake Mungu hasa kipindi cha corona watu wamedondoka isee mm ni nani nisishukuru.. ASANTE MUNGU WANGU NAKUPENDA SANA .Wakuu hope kila mtu yupo katika hali njema na kwa wale wanaopitia kwenye matatizo ya kimaisha iwe maradhi au hali ngumu ya kiuchumi hope Mungu ataweka unafuu.
Mwaka 2020 ndio tunaelekea kuumaliza na kuukaribisha mwaka 2021.
thd hii tujadili kwa kila mmoja wetu ni jambo/mambo gani ambayo hatoyasahau katika mwaka huu wa 2020?
Sio lazima liwe jambo baya inaweza kua hata jambo ulilolitimiza la kimafanikio mema katika maisha.
Binafsi sitosahau janga la Corona ambalo limeleta athari kubwa sana kimaisha na kiuchumi kwa huku ninapoishi,
Je, wewe binafsi jambo gani hutolisahau na una mipango gani kulirekebisha ili lisije kujirudia tena kama ni jambo baya?
Pole sana Mkuu.Kumpoteza mzee wangu.
Pole sana.Kuuguliwa na mzee wangu hadi kupelekea kukatwa mguu.
Corona.
Yote kwa yote namshukuru Mungu.
Haya mambo yamenisogeza karibu na Mungu.
Nilishindwa malizia research akili haikua sawa kabisa man.Poole saana.
Nn kilipelekea usi graduate