Mwaka 2020 ni jambo gani hutolisahau?

Mwaka 2020 ni jambo gani hutolisahau?

The Icebreaker

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2018
Posts
22,278
Reaction score
65,817
Wakuu hope kila mtu yupo katika hali njema na kwa wale wanaopitia kwenye matatizo ya kimaisha iwe maradhi au hali ngumu ya kiuchumi hope Mungu ataweka unafuu.

Mwaka 2020 ndio tunaelekea kuumaliza na kuukaribisha mwaka 2021.

thd hii tujadili kwa kila mmoja wetu ni jambo/mambo gani ambayo hatoyasahau katika mwaka huu wa 2020?

Sio lazima liwe jambo baya inaweza kua hata jambo ulilolitimiza la kimafanikio mema katika maisha.

Binafsi sitosahau janga la Corona ambalo limeleta athari kubwa sana kimaisha na kiuchumi kwa huku ninapoishi,

Je, wewe binafsi jambo gani hutolisahau na una mipango gani kulirekebisha ili lisije kujirudia tena kama ni jambo baya?
 
sitasahau neema na baraka zake Mungu hasa kipindi cha corona watu wamedondoka isee mm ni nani nisishukuru.. ASANTE MUNGU WANGU NAKUPENDA SANA .
 
Sitasahau wizi wa kura uliotamalaki!
709081.jpg
12460.jpg
098765.jpg
 
Wapinzan kufoji video na picha (photoshop) kwa weledi na utaalamu wa hali ya juu wakidai wamekamata kura fake. Wapinzani kudanganya jamii kua kuna watu wamekufa bara na visiwani kisa uchaguzi na huku sio kweli. Na huku uchaguzi ulikua huru na haki.

Hapa kazi tu
Kidumu chama cha mapinduzi
Magufuli is the best leader in Africa.
 
Back
Top Bottom