Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Ulipima mara ya mwisho lini?Ungepima tu sahivi ungekua unamiliki pisi kalii! Ila kupima si mchezo hasa ule wakati wa kusubiri majibu[emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipima mara ya mwisho lini?Ungepima tu sahivi ungekua unamiliki pisi kalii! Ila kupima si mchezo hasa ule wakati wa kusubiri majibu[emoji848][emoji848]
Fikiria pisi executive inataka kukupa kimasihara
Fikiria imekupa nafasi ya kuipa romance
Fikiria inakwambia ipo tayari kuliwa
Lakini kwa sharti la kupima kwanza ngoma
Kwa kweli ilibidi nijipe dharura kwa sababu ilikuwa ghafla sana. Mpaka mwaka unaisha ile pisi executive ilinipa tahadhari bila kupima nisigusie kabisa suala la sex.
Uzi huu sio muhimu unawapa taarifa tu.
Ilikua August 2020 mkuu! Siipendagi ile moment ya "haya subiri majibu hapo nje"😒 Vipi wewe?Ulipima mara ya mwisho lini?
2017 ndo mara ya mwisho..Ilikua August 2020 mkuu! Siipendagi ile moment ya "haya subiri majibu hapo nje"[emoji19] Vipi wewe?
Virus zembe A.K.A zezetaKacheck afya yako peke yako halafu urudie mzigo mkapime wote.
Virus vya siku hizi havina nguvu. [emoji4]
Icho kipimo ni feki mkuuHii Pima Pima majuzi imeniharibia ratiba za kula tunda.
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa ndomu hapo nyuma ila sasa nmeanza kuzichoka,nataka kula nyama nyama.
Kuna demu nkampanga kumla ila tupime kwanza akakubali,sasa ikabid niwah kupma kwanza,nilipima usiku kama saa mbili nikawa na pilika pilika,mpaka nkasahau kuangalia majibu,kesho yake nkaamua ndo nikiangalie,kuchek nakuta kipimo kimetokewa na mistari miwili,nkashangaa ila sjashtuka sana,nataka nkapime tena maabara
Ofcourse hadi naenda kupima i was like liwalo na liwe ikitokea +ve ntatumia dawa na maisha yatasonga vizuri tu!ila pia nilikua nawaza kwahiyo ikiwa +ve manake ndiyo kumeza dawa daily mmh😒. Nikaamua tu niende huku naomba Mungu anipe nguvu. Kuna Dada tuligombana akaning'ata na nilikua simuamini sana kutokana na stories zake dah😒, niliishi kwa mawazo kiasi, but Mungu ni mwema.2017 ndo mara ya mwisho..
Ulikuwa umejiandaje kukubali matokeo Positive?..maana majibu sio ishu..ishu ni maisha after positive result
time ya kucheki majibu ni dk 10 mpaka 20 ukizidisha hapo unaweza pata wrong resultHii Pima Pima majuzi imeniharibia ratiba za kula tunda.
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa ndomu hapo nyuma ila sasa nmeanza kuzichoka,nataka kula nyama nyama.
Kuna demu nkampanga kumla ila tupime kwanza akakubali,sasa ikabid niwah kupma kwanza,nilipima usiku kama saa mbili nikawa na pilika pilika,mpaka nkasahau kuangalia majibu,kesho yake nkaamua ndo nikiangalie,kuchek nakuta kipimo kimetokewa na mistari miwili,nkashangaa ila sjashtuka sana,nataka nkapime tena maabara
Niuzie pambanoFikiria pisi executive inataka kukupa kimasihara
Fikiria imekupa nafasi ya kuipa romance
Fikiria inakwambia ipo tayari kuliwa
Lakini kwa sharti la kupima kwanza ngoma
Kwa kweli ilibidi nijipe dharura kwa sababu ilikuwa ghafla sana. Mpaka mwaka unaisha ile pisi executive ilinipa tahadhari bila kupima nisigusie kabisa suala la sex.
Uzi huu sio muhimu unawapa taarifa tu.
Yaan kipimo kmenchanganya hik nashndwa kuelewa.Icho kipimo ni feki mkuu
Et eee,baada ya kuona matokeo hayo ndo nakumbuka,niliwah kupima kwa kutumia vipimo hivyo nikiwa kituo cha afya,nilipomuomba daktar anipatie niondoke nacho alikataa akaniambia unaweza ondoka nacho ukafka nyumban majibu yakabadilikatime ya kucheki majibu ni dk 10 mpaka 20 ukizidisha hapo unaweza pata wrong result
Dada yangu nakushauri ukae kimyahujui mambo mengi,labda huo ushauri wako utawafaa wanawake wemzio lkn sio sisi wanaume.Omba Mungu nyege zisikutawale....
Iwe KE au ME...
Omba sana Mungu.
Mkuu ukiwa nao utakuwa unakula tu free huoni utakuwa unawapa wengine?Yaan kipimo kmenchanganya hik nashndwa kuelewa.
Ila nataka nkafanye vipimo vingine mapema ili nijue kipi ni kipi,kama ninao niwe free nianze kula Toto Kali kali znazojiachiaga niwe natafuna bila presha
Kama unao mkuu ukiendelea kufanya ngono zembe unakua positive plus mkuuYaan kipimo kmenchanganya hik nashndwa kuelewa.
Ila nataka nkafanye vipimo vingine mapema ili nijue kipi ni kipi,kama ninao niwe free nianze kula Toto Kali kali znazojiachiaga niwe natafuna bila presha
Dada yangu nakushauri ukae kimyahujui mambo mengi,labda huo ushauri wako utawafaa wanawake wemzio lkn sio sisi wanaume.
Sisi wanaume Dada yangu tuna mtihani mgumu Sana hapa duniani,na umeshatushinda.
Katika amri kumi amri ambayo inaongoza kwa kuvunjwa Ni amri ya sita"usizini"
Ikifuatiwa na amri isemayo usitamani "mke wa mwenzako", haisemi "mme wa mwenzako".
Dada kitu usichokijua Ni kwamba "cuma" Ni tamu mno haikinahi.
Lakini kibaya zaidi wanawake Ni wazuri na wanavutia mno.
Kibaya kuliko yooote Ni kwamba tuna Nyege mno wakati wao wanatutamanisha Sana.
Kwa kifupi wanaume tunateseka Sana.
Nitakuwa nakula kiaina,natumia mate sana pia sikamii showMkuu ukiwa nao utakuwa unakula tu free huoni utakuwa unawapa wengine?
Haha haa haa.Yaani hadi nimesikia sauti yako 😅😅😅
Nakuelewa.