Mwaka 2020 niliikosa pisi executive kutokana na kigezo cha kupima HIV

Mwaka 2020 niliikosa pisi executive kutokana na kigezo cha kupima HIV

Dada yangu nakushauri ukae kimyahujui mambo mengi,labda huo ushauri wako utawafaa wanawake wemzio lkn sio sisi wanaume.
Sisi wanaume Dada yangu tuna mtihani mgumu Sana hapa duniani,na umeshatushinda.
Katika amri kumi amri ambayo inaongoza kwa kuvunjwa Ni amri ya sita"usizini"
Ikifuatiwa na amri isemayo usitamani "mke wa mwenzako", haisemi "mme wa mwenzako".
Dada kitu usichokijua Ni kwamba "cuma" Ni tamu mno haikinahi.
Lakini kibaya zaidi wanawake Ni wazuri na wanavutia mno.
Kibaya kuliko yooote Ni kwamba tuna Nyege mno wakati wao wanatutamanisha Sana.
Kwa kifupi wanaume tunateseka Sana.
I can feel you bro, dah! Huwa nahisi ni mimi tu kumbe tupo wengi, tarh 28 nimeto.mbana mno! Tarh 29, kuna manzi kapita na nguo za mtego, nimemtongoza sana. Juzi, kanipa. Leo soon anakuja single maza mmoja, kaniambia kamiss kumkojoza, nishadinda hapa.
 
Asilimia kubwa ya wanaohofia hawana.
Walio nao hata kujihisi hawajihisi..

Kama data ziko sawa ni asilimia 4 ya watanzania ndo wanaambukizwa

Rahisi Ku bet na kupata pesa kuliko kuambukizwa but then again.. wasiwasi ndo akili
Hii comment imenipa faraja saaaana tena saaaana yaan
 
I can feel you bro, dah! Huwa nahisi ni mimi tu kumbe tupo wengi, tarh 28 nimeto.mbana mno! Tarh 29, kuna manzi kapita na nguo za mtego, nimemtongoza sana. Juzi, kanipa. Leo soon anakuja single maza mmoja, kaniambia kamiss kumkojoza, nishadinda hapa.
Vipi mkuu,nikufanyie delivery ya vumbi la Kongo?

Kidding..
 
Mimi nilienda nae..nikasema hata iweje sipimi..mambo ya kupima damu kubwa nikamwambia aanze yeye..kikubwa zaidi mishipa yake ikawa ngumu kutoa damu..wametafuta adi madoctor wakasurrender nikawakatisha zoezi nikasema sbr akale ndo turudi tena..kwenye kwenda kula nikasema bado huniamini ata baada ya kuongozana wote kwenda hosp..akasema hapo nimeamini nikajilia kivyepesi..baada ya kuachana akapima mwenyewe kakuta hana na mm nikaimagine sina tu [emoji1787][emoji1787]
Acha kudanganya na hawa madaktari feki kabisa sijahi kuwasikia kwenye ulimwengu huu,eti wametafuta mshipa wameshindwa?

Kuna sehemu nyingi sana za kutoa damu na huwezi kukosa,kipimo cha H.I.V test hata kwenye vidole unatoa ina maana hata hapo walishindwa? Acha uongo wa kipuuzi wewe

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Bwana wewe tumejimilikisha wagonjwa CTC
Yaan demu mkali viral load ikisoma less than detectable level wakulungwa wanajitafunia tu yaan
Yeah mkuu..viral load ikiwa undectectable vitu unakula tu kibishi..Sema pia watu wenye load kubwa watumie anti-recto viral,kusaidia hili
 
Asilimia kubwa ya wanaohofia hawana.
Walio nao hata kujihisi hawajihisi..

Kama data ziko sawa ni asilimia 4 ya watanzania ndo wanaambukizwa

Rahisi Ku bet na kupata pesa kuliko kuambukizwa but then again.. wasiwasi ndo akili
Mkuu hujawahi kuniangusha kwenye comment zako konki yenye falsafa ndani yake.
Kongole kwa hilo mkuu.
 
Imenikuta hio pia mzee sema Pisi ilikuwa na Vipimo vyake vile vya SD iligoma kabisa mpaka inicheki afya, Mzee mi nilikuwa tayari kuuza Mechi ikanitoboa ikatoa damu ikaweka kwa ka kipimo chake ikakuta Fresh nkapewa mzigo sikuwa hata na shaka mana ukimwi ni myth tu
Nimechakata Pisi za Grade A Kali kabisa mpaka pisi za Grade F mbovu kabisa just dry
 
Fikiria pisi executive inataka kukupa kimasihara

Fikiria imekupa nafasi ya kuipa romance

Fikiria inakwambia ipo tayari kuliwa

Lakini kwa sharti la kupima kwanza ngoma

Kwa kweli ilibidi nijipe dharura kwa sababu ilikuwa ghafla sana. Mpaka mwaka unaisha ile pisi executive ilinipa tahadhari bila kupima nisigusie kabisa suala la sex.

Uzi huu sio muhimu unawapa taarifa tu.
Shule mnafunguwaga lini
 
Imenikuta hio pia mzee sema Pisi ilikuwa na Vipimo vyake vile vya SD iligoma kabisa mpaka inicheki afya, Mzee mi nilikuwa tayari kuuza Mechi ikanitoboa ikatoa damu ikaweka kwa ka kipimo chake ikakuta Fresh nkapewa mzigo sikuwa hata na shaka mana ukimwi ni myth tu
Nimechakata Pisi za Grade A Kali kabisa mpaka pisi za Grade F mbovu kabisa just dry

HIV/AIDS is a mind game disease
 
Acha kudanganya na hawa madaktari feki kabisa sijahi kuwasikia kwenye ulimwengu huu,eti wametafuta mshipa wameshindwa?

Kuna sehemu nyingi sana za kutoa damu na huwezi kukosa,kipimo cha H.I.V test hata kwenye vidole unatoa ina maana hata hapo walishindwa? Acha uongo wa kipuuzi wewe

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Yani wewe kweli ndo sifuri kabisa..kipimo cha ukimwi ni damu kubwa..hivi vya damu mkononi mnajifanganya tu subiri nikufungue akili zako izo sifuri..damu kubwa ndo inapima HIV..izo ya kidoleni labda upimie mimba yako mbichi...
 
Waungwana, nauliza Kaswende(syphillis) na Kisonono(Gonorrhea) bado yapo?
 
Hii Pima Pima majuzi imeniharibia ratiba za kula tunda.
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa ndomu hapo nyuma ila sasa nmeanza kuzichoka,nataka kula nyama nyama.

Kuna demu nkampanga kumla ila tupime kwanza akakubali,sasa ikabid niwah kupma kwanza,nilipima usiku kama saa mbili nikawa na pilika pilika,mpaka nkasahau kuangalia majibu,kesho yake nkaamua ndo nikiangalie,kuchek nakuta kipimo kimetokewa na mistari miwili,nkashangaa ila sjashtuka sana,nataka nkapime tena maabara
Ulijipima mwenyewe?
Mimi pia Kuna kipindi nilijipima ikachora miwili aisee nilipigwa stress mpk nkawa nishazoea mi magonjwa.
Sasa nikaanza kuugua homa kwenda zahanati kupima hakuna ugonjwa lakini naumwa balaa.
Nikamwambia daktari nimepima nia HIV huenda ndio yenyewe.
Akanipima akasema huna HIV nenda acha stress utapona.
Kutoka pale nimepona...
Nashukuru kwenda pale hospitali sababu nilipata nesi mkali nikaanza kujipigia na vile nilikuwa mgeni ule mkoa mambo yakawa bambam.
Aisee sijipimi mwenyewe tena
 
Back
Top Bottom