Mwaka 2021 tuwe na taifa ambalo linatawaliwa kwa kufuata misingi ya sheria

Mwaka 2021 tuwe na taifa ambalo linatawaliwa kwa kufuata misingi ya sheria

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Habari za mwaka mpya wana JF.

Tumeingia mwama 2021 kwa hiyo tunahitaji madalikiko makubwa sana kwenye maisha ya kila siku.

Kama taifa tunatakiwa tuwe na taifa ambalo linafuatwa misingi ya utawala wa sheria.

Rule of law ina maanisha kuwa hakuna atakaye kuwa juu ya sheria. Hii ina maanisha kila atayekiuka sheria za nchi aadhibiwe kwa mujibu wa sheria.

Utawala wa sheria pia ni kuhakikisha hakuna kupigwa marufuku mikutano ya kisiasa ambayo ipo kwa mujibu ya sheria,hakuna kufanya maamuzi ambayo yapo kinyume cha sheria,kama kutetea wabunge ambao wamefurushwa uanachama.

2021 tunataka Tanzania iliyo safi kisiasa.
 
Hilo ndilo la muhimu sana kwa Taifa letu hivi sasa, kwani imenenwa katika Biblia kuwa Haki huliinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote
 
Habari za mwaka mpya wana JF.

Tumeingia mwama 2021 kwa hiyo tunahitaji madalikiko makubwa sana kwenye maisha ya kila siku....
Kwanini tusianze kwanza kuwabaini maadui wa kweli wa taifa letu,Bila unafiki na Bila kutanguliza maslahi binafsu mbele,ama uchama ila maslahi ya taifa.
 
Kwanini tusianze kwanza kuwabaini maadui wa kweli wa taifa letu,Bila unafiki na Bila kutanguliza maslahi binafsu mbele,ama uchama ila maslahi ya taifa.
Waulize kina Pasco Mayalla ,Kama watakubali.
 
sahau kuhusu utawala wa sheria kwa huyu mtu anaejidanganya nchi hii inaweza kuendelea kwa kufungamana na chama cha kikomunist cha china.

tegemea shida tu kama korea kaskazini, cuba na venezuela.
 
Back
Top Bottom