Mwaka 2021 Watu Milioni 1.5 waliambukizwa VVU Barani Afrika

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Takwimu mpya za UNAIDS zinaonyesha kuongezeka kwa Maambukizi ya VVU huku ikikadiriwa kuwa kila dakika mbili ya mwaka 2021, msichana mmoja aliambukizwa VVU na kila dakika mtu mmoja alifariki kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI barani Afrika

Kulingana na Ripoti ya In Danger ya Shirika hilo imabainika wanawake walichangia asilimia 49 ya maambukizo mapya ya VVU 2021 duniani huku Kusini mwa Jangwa la Sahara, wakichangia asilimia 63 ya maambukizi mapya katika mwaka huo huo

Aidha, tafiti zimebaini kuwa kuna watu milioni 38.4 wanaoishi na VVU duniani huku Milioni 20.6 kati yao wakitoka Mashariki na kusini mwa Afrika pekee

..................................................

New UNAids data shows that one person died every minute from an Aids-related illness in 2021. It also estimates that “every two minutes in 2021, an adolescent girl or young woman was newly infected with HIV”. The report - titled In Danger - was released at this year’s Global UNAids conference in Montreal, Canada .

Globally, women and girls accounted for 49% of all new infections in 2021. However in sub-Saharan Africa, they accounted for 63% of all new infections in the same year. At least 1.5 million people were newly infected with HIV last year according to the data.

The report further shows that new HIV infections are rising where they had previously been falling. “The data revealed in this report will disturb and shock - but the report is not a counsel of despair. It is a call to action. Failure would be fatal, but it is not inevitable. We can end Aids by 2030. But the curve will not bend itself. We have to pull it down,” said Winnie Byanyima, the UNAids executive director.

Globally there are 38.4 million people living with HIV. Eastern and southern Africa bears the highest global burden with more than half of the people (20.6 million) being accounted for in this region.

SOURCE; BBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…