Mwaka 2022 umekuwa mwaka mgumu sana kuwahi kuushuhudia ndani ya miaka 40 iliyopita

Mwaka 2022 umekuwa mwaka mgumu sana kuwahi kuushuhudia ndani ya miaka 40 iliyopita

Landson Tz

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
304
Reaction score
238
Gharma za bidhaa zilikuwa juu naona na mwaka huu bado zimeendelea kuwa juu. Bidhaa za muhimu sana zaidi ya mafuta zimekuwa bei ghali, CHAKULA.

Sihitaji kutaja bei kwani kila anajione janga hili.

Sasa najaribu kutafakari nini chakufanya ili hali hii isiendelee kuumiza watanzania hasa wa kipato cha chini. Ni nani atusaidie?



Je, The great thinkers mnashaurije wananchi na serikali ili tuweze kutoka hapa tulipo kama taifa?
 
Back
Top Bottom