Mwaka 2023 magoli ya Simba 80% ni ya penati

Acheni kupiga mitama hao wachezaji wanapotaka kufunga.
 
Nitajitaid niweke magoli yote tutakayofunga huu mwaka🤣
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Ungemalizia kwa kusema, matukio ya mechi nyingi za Simba yamekua yaki wadhalilisha marefa wengi na kuchangia kwa kiasi kikubwa marefa wetu kuto teuliwa kuchezesha michuano mikubwa.
Tuweke idadi ya marefa waliofungiwa kwa matukio kati ya mechi za simba na zile za yanga kisha watakao zidi ndio tutamaliza kusema wanasababisha marefa wetu kutoteuliwa kuchezesha michuano mikubwa .Kama uko tayari sema.
 
Kumbe umerogwaaa? Tukusamehe buree kwa kupost uharo JF.
ugua poleee mtani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa miaka hyo....kishule shule mlikuwa vichawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…