Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

. Mungu akusaidie nini sasa? Ufie shambani?
 
Nakuelewa vizuri sana mkuu. Kwa kweli ukipata shamba lenye maji hata eka 5 tu unatoboa pakubwa
 
Naomba nipm namba zako mkuu tafadhali.
 
Huku kanda ya kati kilimo cha alizet msimu ujao kitakufa, bei ya mafuta imeporomoka vibaya SIRIKALI imeruhusu mabwanyenye kuingiza mafuta mbadala kutoka nje ya nchi.
Mama ameshindwa kulinda viwanda vidogo vidogo vya ndani, sad!!!.
Mafuta saivi shiling ngapi huko?
 
Mafuta saivi shiling ngapi huko?
Mafuta yanayotoka kwenye viwanda vidogo lita 20 ni kati ya 81k-85k , viwanda vya kati 105k-110k na vile vikubwa 110k-115k hizo ni bei za Singida. Mimi ni mdau katika biashara hii nasambaza mzigo Arusha,Mwanza ,Mbeya na Dar es salaam. Ukiwa na issue ya maswala ya mazao aina mbalimbali ndani ya Dodoma na Singida karibu nitakupatia taarifa halisi.
 
Safi sana mkuu, acha hawa wafuasi wa jiwe waendelee kudemka mijini na kumlaumu Samia hajafunga mipaka vyakula viuzwe bei wanazotaka wao
 
Nilijua huko bei imeshuka kumbe kibaigwa bei ni ahueni
 
Huku kanda ya kati kilimo cha alizet msimu ujao kitakufa, bei ya mafuta imeporomoka vibaya SIRIKALI imeruhusu mabwanyenye kuingiza mafuta mbadala kutoka nje ya nchi.
Mama ameshindwa kulinda viwanda vidogo vidogo vya ndani, sad!!!.
Yamekuwa bei gani, achana na uzushi mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…