Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

Watu wanatakiwa kujua kuwa Kilimo ni uwekezaji kama uwekezaji Mwingine.
Lima karibu na chanzo cha maji na pia jitahidi kuwa na Pampu ya Umeme au ya kusukuma kama Money Maker.

Utafiti wa soko ukifanywa kwa umakini basi Kilimo kinalipa sana.
 
Mkuu... Mung akutangulie na nlcho jifunza mm katika uzi wako ni hayo mazao matatu yavumiliayo ukame "Mtama, dengu na alizeti", umebadl gia yangu ambyo nam pia nltaka kuingia naYo shambn.

#2023-2024 "SIO KUFIA TU SHAMBANI, BALI KUZIKIWA."
 
Bwana Okwi...msimu umeisha huu, lete mrejesho?
 
Lima, lakini usife mkuu, !

YESU NI MWOKOZI
 
Watu wanatakiwa kujua kuwa Kilimo ni uwekezaji kama uwekezaji Mwingine.
Lima karibu na chanzo cha maji na pia jitahidi kuwa na Pampu ya Umeme au ya kusukuma kama Money Maker.

Utafiti wa soko ukifanywa kwa umakini basi Kilimo kinalipa sana.
Mkuu nina uhitaji na pump aina ya money maker, zinapatikana vipi na gharama yake ipoje?
 
Ninaendelea kujifunza kitu Cha ajabu, watu wanaoropoka mipango yao huwa hawafanikiwi, hii Ni December, hakuna mrejesho, kumbuka alianza kupanda January, mazao ya msimu!!!

Mungu nisaidie na Mimi, haka ka kikwazo la uroporopo nikashinde kabisa
 
Mkuu tuliingia mkataba wa kukupa mrejesho? Kuna sheria inanilazimisha kukupa mresho? Kwa taarifa yako nimefanikiwa zaidi ya mategemeo. Nitapata muda wa kuandika kwa utashi wangu sio wewe kunipangia. Ili yawe mafanikio lazima niyalete hapa?

Mwenyewe umesema nimeropoka mipango, je iweje unataka niropoke mafanikio?
 
Ninaendelea kujifunza kitu Cha ajabu, watu wanaoropoka mipango yao huwa hawafanikiwi, hii Ni December, hakuna mrejesho, kumbuka alianza kupanda January, mazao ya msimu!!!

Mungu nisaidie na Mimi, haka ka kikwazo la uroporopo nikashinde kabisa
mkuu tafuta "ten commandments of NEVER" zitakusaidia sana, mm wakati nazifuata kwa ukamilifu zilinisaidia sana, nilipoanza kuzikiuka mambo yakabadilika.
 
Ninaendelea kujifunza kitu Cha ajabu, watu wanaoropoka mipango yao huwa hawafanikiwi, hii Ni December, hakuna mrejesho, kumbuka alianza kupanda January, mazao ya msimu!!!

Mungu nisaidie na Mimi, haka ka kikwazo la uroporopo nikashinde kabisa
Ila amewatia moyo baadhi ya wakulima πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…