Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa mafanikio sana kwangu

Guys, i hope mko poa sana,
Kiukweli mwenzenu nina furaha huu mwaka naumaliza vizuri kwa kupata hitaji la moyo wangu,

Guess whaaaaaaat! I'm a new Mom in town [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]

Ilikua March daktari aliponambia nina ujauzito baada ya kuumwa sana bila kuelewa ninachoumwa, anyway story iwe fupi kiutani utani nikawa nimenasa bhana,

Namshukuru partner wangu amekua na mimi bega kwa bega hadi siku ya mwisho naenda kufanyiwa C-Section na kumleta a beautiful baby duniani [emoji56][emoji120]

Special thanks to my family, nyie walijua kunicare, kunidekeza ofcourse ni lastborn wao ninastahili [emoji1]

My baby and I tumetimiza one month tangu tupambane for 9 months na ile siku yenyewe, siku ya kuchungulia kifo uwiiiii[emoji119]
Mtoto wangu ni shujaa wangu kila siku hua namwambia hilo, amenipa the best experience sikuwahi kuiwazia, yes kulikua na ups and downs hasa miezi mitatu ya mwanzo na miezi mitatu ya mwisho lakini tulipambana hadi tukaonana [emoji3059][emoji7]

Wanawake wote wenye watoto hongereni na ambao bado niwatoe hofu tu ni jambo zuri msitishwe na mijineno ya waja,

Next time nitakuja kuelezea safari nzima ilipoanzia, changamoto, nakadhalika, hii ni kuwatia Moyo Wanawake wote lakini pia kuwafanya Wanaume wawaheshimu Wanawake zao, Mimba hadi Kuzaa sio mchezo, inaathiri kimwili na kihisia pia

Itapendeza kama mkiwa positive na kutoa hongera bila kuweka mambo binafsi ya watu maana utakua ni umbea na hasa nyie wanaume ndio wambea sana mtakuja kusutwa kwa makopo ya chooni [emoji849][emoji851]

Kheir ya Mwaka mpya wana JF wooooooooote [emoji323][emoji322][emoji320][emoji304]
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
 
Hongera sana Dr. Na hongera kwa kushare hii furaha yako na sisi, JF inahitaji hizi moments the most, tumechoka na negativity na malalamiko kila siku.

Kiss our baby on the forehead for me please, mdogo… kila kitu chake kidogo, miguu, mikono, kamdomo eishhhhh! 😍🥰
 
Umbea unaazia hapa...

We si huwa unapeleke moto wanawake wenzio??😳😳

Hee kumbe huwa mnajifanyisha tu na kuzaa kumbe mnaweza

Pumbavu sanaa wale ma Tomboy na "men like women" kumbe mkipelekewa moto na mimba mnapata...!!!

#YNWA
Hahaha
 
Back
Top Bottom