Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nmefurahi sana nadhani unajua n kwanini, hongera sana mama fulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe rafiki wa Mzigua90 lini?Hongera sana kipenzi Mungu azidi kumkuza mtoto kwenye mikono impendezayo yeye [emoji3059][emoji7]
Nitake radhi boss mimi sio dume la mbeguDr. Mariposa Mungu Mkubwa! Nashukuru umefuata ushauri wangu kuwa mwanaume hakwepeki hata uwalambe wanawake wenzako wangapi. Huo muufanyao ni mchezo tu, ila kuwekwa dyudyu ndiyo mpango mzima. Ndiyo maana mwanaume kukubali kuwekwa dyudyu ni dharau kwa ukoo, kabila na taifa kwa ujumla. Dyudyu hupokewa na wanawake si wanaume.
Wasimulie wenzako ulivyokuwa unakata mauno na mpaka ukabeba mimba. Ila sikukatazi kuendelea kulamba k za wenzako maana ni mchezo tu. Ila usimlazimishe huyo dume la mbegu (kwa msemo wa Missy Gf ) akule K yako.
Acha kujishongondoa kwa watu usiowajua mjusi weeeeDr. Mariposa Mungu Mkubwa! Nashukuru umefuata ushauri wangu kuwa mwanaume hakwepeki hata uwalambe wanawake wenzako wangapi. Huo muufanyao ni mchezo tu, ila kuwekwa dyudyu ndiyo mpango mzima. Ndiyo maana mwanaume kukubali kuwekwa dyudyu ni dharau kwa ukoo, kabila na taifa kwa ujumla. Dyudyu hupokewa na wanawake si wanaume.
Wasimulie wenzako ulivyokuwa unakata mauno na mpaka ukabeba mimba. Ila sikukatazi kuendelea kulamba k za wenzako maana ni mchezo tu. Ila usimlazimishe huyo dume la mbegu (kwa msemo wa Missy Gf ) akule K yako.
Pole mwaya nahisi kachanganya chang'aa na ulanziNitake radhi boss mimi sio dume la mbegu
Shukrani JoannahWatoto ni baraka....hongera
Ahsante sana Shunie wangu jamaniiii [emoji3059]Hongera sana kipenzi Mungu azidi kumkuza mtoto kwenye mikono impendezayo yeye [emoji3059][emoji7]
Ahsante sanaaaa na hongera pia kwa kufurahi [emoji56]Nmefurahi sana nadhani unajua n kwanini, hongera sana mama fulani.
Shangazi nimekumiss!uwe na mwaka mpya wenye barakaHongera sana kipenzi Mungu azidi kumkuza mtoto kwenye mikono impendezayo yeye [emoji3059][emoji7]
Ahsante sana barikiwa.Ahsante sanaaaa na hongera pia kwa kufurahi [emoji56]
Kumekuchaaaaaaaaaaa 🙌Acha kujishongondoa kwa watu usiowajua mjusi weeee
Nimekumiss pia shangazi yangu asante sana kipenzi nakutakia na we mwaka mpya wenye mafanikio teletele [emoji3059][emoji7]Shangazi nimekumiss!uwe na mwaka mpya wenye baraka
Nakupenda kipenziAhsante sana Shunie wangu jamaniiii [emoji3059]
Amiin [emoji120]
Hongera sana my dear, heri nyingi na fanaka kwa mtoto, akue katika hali nzuri zote zinazoleta furaha na amani, hongera sana.Guys, i hope mko poa sana,
Kiukweli mwenzenu nina furaha huu mwaka naumaliza vizuri kwa kupata hitaji la moyo wangu,
Guess whaaaaaaat! I'm a new Mom in town [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Ilikua March daktari aliponambia nina ujauzito baada ya kuumwa sana bila kuelewa ninachoumwa, anyway story iwe fupi kiutani utani nikawa nimenasa bhana,
Namshukuru partner wangu amekua na mimi bega kwa bega hadi siku ya mwisho naenda kufanyiwa C-Section na kumleta a beautiful baby duniani [emoji56][emoji120]
Special thanks to my family, nyie walijua kunicare, kunidekeza ofcourse ni lastborn wao ninastahili [emoji1]
My baby and I tumetimiza one month tangu tupambane for 9 months na ile siku yenyewe, siku ya kuchungulia kifo uwiiiii[emoji119]
Mtoto wangu ni shujaa wangu kila siku hua namwambia hilo, amenipa the best experience sikuwahi kuiwazia, yes kulikua na ups and downs hasa miezi mitatu ya mwanzo na miezi mitatu ya mwisho lakini tulipambana hadi tukaonana [emoji3059][emoji7]
Wanawake wote wenye watoto hongereni na ambao bado niwatoe hofu tu ni jambo zuri msitishwe na mijineno ya waja,
Next time nitakuja kuelezea safari nzima ilipoanzia, changamoto, nakadhalika, hii ni kuwatia Moyo Wanawake wote lakini pia kuwafanya Wanaume wawaheshimu Wanawake zao, Mimba hadi Kuzaa sio mchezo, inaathiri kimwili na kihisia pia
Itapendeza kama mkiwa positive na kutoa hongera bila kuweka mambo binafsi ya watu maana utakua ni umbea na hasa nyie wanaume ndio wambea sana mtakuja kusutwa kwa makopo ya chooni [emoji849][emoji851]
Kheir ya Mwaka mpya wana JF wooooooooote [emoji323][emoji322][emoji320][emoji304]
Akaweka na puka 🤣🤣🤣Pole mwaya nahisi kachanganya chang'aa na ulanzi