Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa mafanikio sana kwangu

Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa mafanikio sana kwangu

Hongera sana sana kwa kutokutumia P2 na Condom, napenda sana watoto. MUNGU akuzidishie uzao, na mimi Kaka yako najitahidi niongeze Aunt zako, mwaka huu nimekua mzembe kidogo. Safari zilizidi nikawa napishanana "gari la mshahara" kila mwezi.
Shukrani sana kaka mkubwa, hakika nimejua watoto wana raha sana.....
Nafurahi kujua unawapenda na umepania kutekeleza agizo la Mungu (zaeni muijaze dunia)

Salaam kwa Aunt zangu [emoji56]
 
Back
Top Bottom