Mwaka 2023, wakenya milioni 12 walisafiri kwa ndege ilhali watanzania milioni 3.8. Je, sisi watanzania shida ni umaskini au tunaogopa kusafiri?

Kila mtu na maisha yake kama wao wanasafiri na ndege sisi inatuhusu nini?
Inaonesha kiwango Cha Ustawi kimaisha,si ajabu mumejaza mahifadhi ya Taifa yasiyo na Msaada maana wageni wachache wanakuja ila wenyeji hawana pesa za kulipia Utalii.
 
Wanatafuta maisha kokote nyie mumerundikana hapa hapa Bongo matokeo yake Nafasi 2,600 za Polisi mnaomba 22,000? 😂😂

Kwa hali hii nani wajanja?
 
Mada ni Kenya vs Tanznaia.Wana miundombinu ya Barabara mizuri kuliko sisi lakini wanatumia sana usafiri wa ndege ndani ya Nchi.

Kwa nini sisi Watanzania tunaona ndege ni anasa au hatuna pesa?
 
Hili ni tatizo tena kubwa sana linalochangiwa na ujinga na ushamba
 
Hii ni stategy ya Nyerere kuwadumaza watu wasiweze kudai haki zao
 
Kibongobongo ndege ni usafiri wa anasa, ni usafiri wa wenye nacho. Levels za umasikini kwa nchi yetu hata sio za kuulizana...
Hili ndio jibu umaskini umezidi si ajabu hata Boss wa TRA alikuwa anashangaa Nchi ya watu 65mln wenye Tin namba na kulipa Kodi hawazisi mil.2
 
Pesa ya likizo waweke kwa viwango vya nauli ya ndege , kila mtu ataenda kwao kwa ndege , wale wa Dar-Mbeya wana moyo kusafiri na gari .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…