Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Pewa ulinzi kakaKibongobongo ndege ni usafiri wa anasa, ni usafiri wa wenye nacho. Levels za umasikini kwa nchi yetu hata sio za kuulizana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pewa ulinzi kakaKibongobongo ndege ni usafiri wa anasa, ni usafiri wa wenye nacho. Levels za umasikini kwa nchi yetu hata sio za kuulizana...
Upumbavu mtupu, asahivi bongo ni zaidi ya ulaya tujitahidi kutumia fursa anazozitengeneza MamaPassport ni anasa bongo utataja hadi jina la jirani wa nyanya ako aliyefariki 1947.
Wabongo wengi hawana exposure. Wamejazwa ujinga bongo ni mbinguni kila mtu anatuonea wivu kwa mali zetu, mali zenyewe hamna. So wengi wamerundikana bongo kama nyanya.
And of course umaskini. GDP ya Kenya almost doubles ile ya Tanzagiza.
Ninachojua mimi wakina Chief Marealle, Nyerere na Oscar Kambona ni Watanzania wa mwanzo kabisa kupanda ndege kwenda Ulaya na Marekani.katika hao Watanzania million 3 wanaopanda ndege, utakuta 90% wa Kariakoo.
Kariakoo ndiyo chimbuko la kila kitu Tanzania hii.
Unaijua Ulaya hata ya kwenye picha tu??Upumbavu mtupu, asahivi bongo ni zaidi ya ulaya tujitahidi kutumia fursa anazozitengeneza Mama
Ww umesafiri mara ngapiKwa mujibu wa takwimu za usafiri zilizotolewa na mamlaka ya anga ya Nchi zote inaonesha wakenya wakitumia usafiri wa ndege mara 3 zaidi ya Watanzania ambapo takribani watu Milioni 12.3 walisafiri kwa Ndege huko Kenya wakiwemo wageni zaidi ya mil. 5 na raia zaidi ya mil. 6.
Kwa upande wa Tanzania ,mwaka huo huo takribani watu Mil.3.8 wakitumia usafiri wa ndege ambapo kati ya hao zaidi ya mil.2 ni wageni na raia ni chini ya mil.2.
Kwa takwimu hizi ,hivi ni kwamba Watanzania sisi ni maskini kiasi hicho au Kuna sababu zingine zinazofanya hatusafi Kwa Ndege?
Unaweza Kuta 90% ya Watanzania hawajawahi kuona tiketi ya ndege. Naomba kuwasilisha 👇👇
Kina Ruto, Moi, Kenyatta wanafika 12M??? Ulianza vizuri kwa kutaja disposable income. Ungemalizia kwa kukiri hadharani Kenya disposable income ipo juu na kuna diaspora wengi zaidi ya TZ. Leta takwimu za diaspora remittances for the 2 countries tulinganishe.Maswali mengine mtu anauliza utafikiri ni mgeni.., Unajua kabisa disposable income kwa waafrika ni tatizo hata Kenya hao wanaosafiri ni kina Ruto, Kenyatta and Moi's et al Na mabwanyeye wengine ila majority hata milo mitatu tatizo... Kwahio unless haya maswali mnaulizana huko na walamba asali mkiwa Monaco au Dubai hapa tungekuwa tunaulizana na vipi watu hatuna maji safi, umeme / nishati ni gharama na hata affordable housing bado sio affordable
Mara nyingi tuu hasa ndani ya Nchi.Kama unauza duka la mangi huwezi safiri Kwa ndege🤣🤣Ww umesafiri mara ngapi
Hapo sawaMara nyingi tuu hasa ndani ya Nchi.Kama unauza duka la mangi huwezi safiri Kwa ndege🤣🤣
Moja kina Ruto Moi et al inamaanisha the 1 per-centers (the walamba asali) na kwa Kenya kuna tycoons na kuna paupers wa kutupa by the way hio research imeweka individuals waliosafiri (unique people) au mara ngapi watu wamesafiri ? (huenda ni watu elfu kadhaa ambao kila wiki wanakwenda kudai kufanya uchuuzi....Kina Ruto, Moi, Kenyatta wanafika 12M??? Ulianza vizuri kwa kutaja disposable income. Ungemalizia kwa kukiri hadharani Kenya disposable income ipo juu na kuna diaspora wengi zaidi ya TZ. Leta takwimu za diaspora remittances for the 2 countries tulinganishe.
Swali zuri sana umeulizaKina Ruto, Moi, Kenyatta wanafika 12M??? Ulianza vizuri kwa kutaja disposable income. Ungemalizia kwa kukiri hadharani Kenya disposable income ipo juu na kuna diaspora wengi zaidi ya TZ. Leta takwimu za diaspora remittances for the 2 countries tulinganishe.
Upumbavu mtupu, asahivi bongo ni zaidi ya ulaya tujitahidi kutumia fursa anazozitengeneza Mama
siyo ndugu yangu, mzazi wangu.Ulilipiwa na ndugu zako, serikali ya Nyerere au Wagalatia wenyewe wa Canada ulipoenda kusoma kwao??
Tuanzie hapo kwanza🤒Watanzania wanasafiri kwa ndege wakienda wapi??
Kumbe, nilifikiri wengi wenu mlifika nje kwa stowaway tu kwenye meli za Wagiriki😁siyo ndugu yangu, mzazi wangu.
Kariakoo hatujaanza kupanda ndege leo wala jana, tumekuta wazazi wetu wanapanda tayari na siyo kitu cha ajabu.