Mwaka 2024 natangaza rasmi vita kali na members wa wanafiki kwa Rais Samia

Taifa bila unafki haliwezi kwenda
 

Hawa watu wanafiki na waongo, ni watu hatari sana. Hawa ni uzao wa shetani.

Katika biblia kuna maneno mawili tu ndiyo yaliyoandikwa mara nyingi kuliko maneno mengine yoyote: upendo na ukweli. Upendo, limetajwa mara 310, na ukweli mara 333. Hiyo inaonesha jinsi ilivyo muhimu kwa watu kuwa wakweli. Uwongo ndiyo baba wa dhambi zote. Na mtu hawezi kutenda kosa halafu aendelee kuwa mkweli. Kila kosa lazima liambatane na uwongo. Ndiyo maana kwa baadhi ya nchi, mtu akisema uwongo, tena chini ya kiapo, adhabu yake ni jela tu, hakuna adhabu nyingine.

Watu kama akina Mwashambwa, Variable na wengine wa namna yao, wanaompamba Rais kwa sifa za uwongo, lazima mioyoni mwao wamejaa uasi na dhamira chafu. Na Rais akihadaika, akazipokea sifa hizo za uwongo na unafiki, atakuwa ameingizwa kwenye uasi wa nafsi.
 
Lucas mwashambwa ChoiceVariable kuna jamaa anataka kuwaharibia huku
 
Takataka ๐Ÿ—‘๏ธ๐Ÿ—‘๏ธ๐Ÿ—‘๏ธ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Vita ya wenyewe kwa wenyewe.........Chawa Og Vs Chawa Fake
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Paruraneni hadi mtoane masikio tujue mnaa ni yupi,chawa ni yupi na mzalendo wa kweli ni yupi๐Ÿคฃ
 
Rasimi = rasmi. Ingekuwa vema ungetangaza vita na hiki kiswahili chako duni. Ficha upumbavu wako.
 
Upo sahihi,Hali ni mbaya wapuuzi na wajinga kama uliowataja shughulika nao
 
Naunga mkono hoja tutakuwa pamoja kuwateketeza
wapumbavu Sana hawa mimi nina taarifa zao na namna wanaw62
Mipombe ikimuisha kichwani akili yake itakaa sawa.
Tunajua mnavyosumbua viongozi mnajipendekeza kutumiwa chochote Kuna taarifa zako muhimu Sana zinazoonyesha kuwa umekuwa ombaomba kwa kusema uongo na kujipendekeza wamesema wamechoka nina orodha ya message zako za uombaomba zako soon ukiendelea nitazitoa Hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ