Mwaka 2024 natangaza rasmi vita kali na members wa wanafiki kwa Rais Samia

Mwaka 2024 naingia rasimi na maadui wa serikali ya Tanzania akiwemo Choice variable, Lucas mwashambwa na wengine wanaompamba Samia kinafiki huku wakijua kuwa Hali ya kisiasa kwa Samia ni ngumu mitaani kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania

Hawa jamaaa wanasifia ujinga ujinga na unafiki mtupu huku wakijua kuwa gharama za maisha kwa wananchi zimekuwa ghali Sana zikiambana na uduni wa huduma za kijamii kama umeme kukatika katika hovyo maji kukatika katika hovyo rushwa imekithiri mitaani kupanda kwa nauli Mara dufu kupanda mafuta na bidhaa mbalimbali uzembe serikalini na kukwama kwa miradi mbalimbali.

TunAtaka Taifa la watu wakweli nA si wanafiki kupindukia wanaompaka mafuta mwenyekiti wa CCM kwa mgongo wa chupa

Mimi ni team yako.
 
Wewe mwenyewe ni mnafiki na mramba miguu wa wana rubondo
 
Kwanza hata hustajili kujibiwa kwa muda huu maana nahisi umekesha na kulala bar na mpaka muda huu bado pombe ipo kichwani mwako. Kaa kwa kutulia .

Halafu koma kabisa kumsema vibaya mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka, jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika,simba wa nyika,nuru ya wanyonge,mtetezi wa wanyonge,mama mchapa kazi, komandoo wa vita,chuma cha reli.nyota ya matumaini na fahari ya Afrika aliyekuja kama nuru katikati ya giza na tumaini katikati ya kukata Tamaa
umeshahau kuweka namba mkuu
 
Ficha upumbavu wako. Hii style ya kutishia ni ya enzi za Nuhu
Huyo ni mshamba maana anasema najikomba kwa viongozi wakubwa .halafu hapo hapo anasema nawadanganya kuwa nitawatafutia connection .sasa kama ni wakubwa nitawatafutiaje connection? Niwatafutie connection ya Nini wakati wao tayari ni wakubwa na wanaweza kuwasiliana na wakubwa wenzao?
 
wewwe koma kuwa unamsumbua yule kiongozi ukimwambia akutafutie connection your days are numbered
 
Kwanza hata hustajili kujibiwa kwa muda huu maana nahisi umekesha na kulala bar na mpaka muda huu bado pombe ipo kichwani mwako. Kaa kwa kutulia .

Halafu koma kabisa kumsema vibaya mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka, jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika,simba wa nyika,nuru ya wanyonge,mtetezi wa wanyonge,mama mchapa kazi, komandoo wa vita,chuma cha reli.nyota ya matumaini na fahari ya Afrika aliyekuja kama nuru katikati ya giza na tumaini katikati ya kukata Tamaa
Uchawa haulipi
 
Huyo ni mshamba maana anasema najikomba kwa viongozi wakubwa .halafu hapo hapo anasema nawadanganya kuwa nitawatafutia connection .sasa kama ni wakubwa nitawatafutiaje connection? Niwatafutie connection ya Nini wakati wao tayari ni wakubwa na wanaweza kuwasiliana na wakubwa wenzao?
Bangi inamsumbua
 
Back
Top Bottom