Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
- Thread starter
-
- #41
chama kinataka taarifa sahihi kuelekea uchaguzi sio unafiki wenu wa kunufaisha matumbo yenu wewe nakufahamu Jina lako na pia tunakufahamu unavyosumbua viongozi kwa uomba omba tunajua Nia yako ovu ya kwamba unampamba Rais kwa uongo ili upate chochote Sasa tafuteni hela kwa mfumo mwingine sio kwa ulaghaiTakataka ๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎchama kinataka taarifa sahihi kuelekea uchaguzi sio unafiki wenu wa kunufaisha matumbo yenu wewe nakufahamu Jina lako na pia tunakufahamu unavyosumbua viongozi kwa uomba omba tunajua Nia yako ovu ya kwamba unampamba Rais kwa uongo ili upate chochote Sasa tafuteni hela kwa mfumo mwingine sio kwa ulaghai
Naona umevurugwa sana akili mpaka sasa network imeacha kushika kabisa na kuanza kuongea uongo wako hapawapumbavu Sana hawa mimi nina taarifa zao na namna wanaw62
Tunajua mnavyosumbua viongozi mnajipendekeza kutumiwa chochote Kuna taarifa zako muhimu Sana zinazoonyesha kuwa umekuwa ombaomba kwa kusema uongo na kujipendekeza wamesema wamechoka nina orodha ya message zako za uombaomba zako soon ukiendelea nitazitoa Hadharani
๐๐๐๐Hela ya bando unayo. Sio unatangaza vitu afu kumbe unatumia wifi ya shemej
Vita iendeleeMwaka 2024 naingia rasimi na maadui wa serikali ya Tanzania akiwemo Choice variable, Lucas mwashambwa na wengine wanaompamba Samia kinafiki huku wakijua kuwa Hali ya kisiasa kwa Samia ni ngumu mitaani kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania
Hawa jamaaa wanasifia ujinga ujinga na unafiki mtupu huku wakijua kuwa gharama za maisha kwa wananchi zimekuwa ghali Sana zikiambana na uduni wa huduma za kijamii kama umeme kukatika katika hovyo maji kukatika katika hovyo rushwa imekithiri mitaani kupanda kwa nauli Mara dufu kupanda mafuta na bidhaa mbalimbali uzembe serikalini na kukwama kwa miradi mbalimbali.
TunAtaka Taifa la watu wakweli nA si wanafiki kupindukia wanaompaka mafuta mwenyekiti wa CCM kwa mgongo wa chupa
sio uongo viongozi wakubwa Sana wanachukizwa na unavyojikomba kwao na unawadanganya watu kwamba wewe ni Usalama wa Taifa unawadanganya kuwatafutia connectionNaona umevurugwa sana akili mpaka sasa network imeacha kushika kabisa na kuanza kuongea uongo wako hapa
nyoka wengi mtatoka mapangoni tu hakuna namna kwa unafiki huu lazima mkomee kabisaUsisahau kupanga na mipango yako na ya familia yako Mkuu.
Wewe mwenyewe ulikua mnafiki kiwango cha lami kwa magufuli sasa umetemwa nje unaona wenzako ni wanafikiMwaka 2024 naingia rasimi na maadui wa serikali ya Tanzania akiwemo Choice variable, Lucas mwashambwa na wengine wanaompamba Samia kinafiki huku wakijua kuwa Hali ya kisiasa kwa Samia ni ngumu mitaani kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania
Hawa jamaaa wanasifia ujinga ujinga na unafiki mtupu huku wakijua kuwa gharama za maisha kwa wananchi zimekuwa ghali Sana zikiambana na uduni wa huduma za kijamii kama umeme kukatika katika hovyo maji kukatika katika hovyo rushwa imekithiri mitaani kupanda kwa nauli Mara dufu kupanda mafuta na bidhaa mbalimbali uzembe serikalini na kukwama kwa miradi mbalimbali.
TunAtaka Taifa la watu wakweli nA si wanafiki kupindukia wanaompaka mafuta mwenyekiti wa CCM kwa mgongo wa chupa
Mwambie huyo chakubanga wengine washachanga pesa za kumchukulia mama fomuHakuna wanafiki kama Watanzania
Hivyo hao WA mtaani unaowasemea wenzio washaandaa kula ya ndio.
Achana na wajumbe.
Ila nitajie zama zlizosema kweli tu bila kudanganya?
Mbona wewe ulikua mnafiki kwa magufuli?wanafiki lazima wakome na wwaaache rasimi kulitumia vibaya Jina la Samia wanajipendekeza kupewa chochote hawan mbele wala nyuma hasa Lucas Mwashambwa amekuwa mnafiki kupitiliza na vijimtu hivi visivyo na kazi vinasifia upumbavu pumbavu hivi ili vipate kula tunaaamuru watafute kazi ya kufanya unafiki haulipi
hatutanii tunachosema ni kweli kama wanab8aha waendeleeMbona wewe ulikua mnafiki kwa magufuli?
Ficha upumbavu wako. Hii style ya kutishia ni ya enzi za Nuhusio uongo viongozi wakubwa Sana wanachukizwa na unavyojikomba kwao na unawadanganya watu kwamba wewe ni Usalama wa Taifa unawadanganya kuwatafutia connection
Samia si malikia anahitaji ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kuendelea kumuongopea ni kuhatarisha uhai wa CCM aambiwe ukweli chama kubadili mwelekeo kuanzia 2024najua na wewe uko kundi la ombaomba FCFicha upumbavu wako. Hii style ya kutishia ni ya enzi za Nuhu
Ni Samia tena 2025. Kama hutaki hama nchiSamia si malikia anahitaji ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kuendelea kumuongopea ni kuhatarisha uhai wa CCM aambiwe ukweli chama kubadili mwelekeo kuanzia 2024najua na wewe uko kundi la ombaomba FC
fanyeni kazi kwa bidii bila kutegemea uongo uongo hapo ndipo akili zenu zitakuwa huruNi Samia tena 2025. Kama hutaki hama nchi
Chawa wote humu ndani 2024 hatuwataki mm hata vibandiko vyao sitavisoma nitapita njia tuMwaka 2024 naingia rasimi na maadui wa serikali ya Tanzania akiwemo Choice variable, Lucas mwashambwa na wengine wanaompamba Samia kinafiki huku wakijua kuwa Hali ya kisiasa kwa Samia ni ngumu mitaani kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania