Mwaka 2050 Bara la Afrika litaanza harakati za kudai Uhuru

Mwaka 2050 Bara la Afrika litaanza harakati za kudai Uhuru

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Kwa namna ambavyo viongozi wetu wanajitahidi kubinafsisha rasilimali zetu - Hadi 2050 Bara la Africa litaanza kuvunja mikataba na kuwafukuza wawekezaji maana hawana manufaa kama tunavyoaminishwa kwa sasa.

Wawekezaji watafukuzwa kama walivyofukuzwa wakoloni.

Wananchi watakuwa hawana pa kufanyia shughuli zao na hivyo watataka nchi yao
 
Roho inaniuma mno.

Bara Lenye Raslimali kama AFRIKA kuwa masikini WA kutopea.

NAUMIA SANA KUONGOZWA NA VIONGOZI WA HOVYO AWAMU YA 2-6.
MAAMUMA.
 
Back
Top Bottom