Mwaka huu 2022, Karim Benzema anastahili Ballon D’or

Mwaka huu 2022, Karim Benzema anastahili Ballon D’or

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
KWENYE LALIGA Mpaka sasa Benzema Ni,
[emoji117]Top scorer wa laliga,
Ana magoli 26, Anayemfata ana magoli 15
(iago aspas-celtavigo, tomas-espanyol)

[emoji117]Top assist wa laliga,
Ana assist 11, akifungana na dembele nae ana assit 11

[emoji117]Ameongoza kuhusika kwenye magoli mengi zaidi laliga nzima (magoli 37 ya laliga) Yaani goals+assist.
-Anayemfuata Ni vinicius juniour aliyehusika kwenye magoli 23 TU.

[emoji117]Ameongoza kutengeneza nafasi kubwa za wenzie kufunga, nafas 13
-anayemfuata Ni osman dembele mwenye nafas 12 za wenzie kufunga.

KWENYE UEFA,Mpaka Sasa benzema ni
[emoji117]Top scorer wa UEFA,
Ana goli 15 , anayemfuata ana goli 13 (lewandoski)

[emoji117]Amefunga magoli muhimu kuivusha timu yake hatua zote muhimu
-Psg-kawafunga goli 3 (Round of 16)
-chelsea- kawafunga goli 4 (Quarter finals)
-man city-kawafunga goli 2 (semi finals)

[emoji117]Ameisaidia timu yake kufika FAINALI za UEFA 2022.

Hitimisho,
Mbali na balon d'or, Benzema anastahili pia
-FIFA best player of the year
-uefa best player of the year
-Best laliga player of the year
-Uefa best centre forward of the year
-Laliga best centre forward of the year

Nawasilisha
 
Uyo Itabidi akapimwe mkojo[emoji4]

Yaan Hapa ilikua inasubiriwa Madrid waingie fainali UEFA tu ili kusiwepo na kisingizio, maana ake hata wakipoteza haimuondolei kigezo Cha yeye kuchukua
Benzema kawafunga mancity goal 3 na sio 2, back to the topic , kigezo cha kuchukua kombe la mataifa ya Africa huku akiwa mchezaji Bora bado kinampa credit Mane , akichukua UEFA na vikombe hata viwili vya mbuzi ( ambacho kimoja anacho ) kinampaisha pia , tatizo Tu ni kuwa ni Mwafrica ....Ila data zake kama zingekuwa za Benzema , bila doubt Benzema angechukua
 
Sheria zimebadilishwa kwa sasa, hawaangalii performance ya team. Wanaangalia individual performance. Mambo ya team imeshinda kitu gani haipo tena.
 
Benzema kawafunga mancity goal 3 na sio 2, back to the topic , kigezo cha kuchukua kombe la mataifa ya Africa huku akiwa mchezaji Bora bado kinampa credit Mane , akichukua UEFA na vikombe hata viwili vya mbuzi ( ambacho kimoja anacho ) kinampaisha pia , tatizo Tu ni kuwa ni Mwafrica ....Ila data zake kama zingekuwa za Benzema , bila doubt Benzema angechukua
Hapa nakubaliana nawe, rangi ya ngozi ina influence sn kwny hizi tuzo, tatizo zipo kisiasa na kishabiki zaidi, kombe la Afrika huwa halina uzito sn km makombe yao ya ulaya.
 
Hapa nakubaliana nawe, rangi ya ngozi ina influence sn kwny hizi tuzo, tatizo zipo kisiasa na kishabiki zaidi.
Alipewa George Weah, De Lima, Ronaldinho. Hii sababu ya rangi mimi siiungi mkono.
 
Back
Top Bottom