Mwaka huu 2024 hakuna nyongeza ya Mshahara?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Juzi mishahara ya Watumishi wa Umma ilitoka ikiwa haina nyongeza hata chembe. Je, ina maana mwaka huu pia hakuna pekeji' mbona kazi!?
 
Juzi mishahara ya Watumishi wa Umma ilitoka ikiwa haina nyongeza hata chembe. Je ,Ina maana mwaka huu pia hakuna pekeji' mbona kazi!?
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
He, Makubwa! 🤔
 
IMG-20240724-WA0414.jpg
 
Juzi mishahara ya Watumishi wa Umma ilitoka ikiwa haina nyongeza hata chembe. Je, ina maana mwaka huu pia hakuna pekeji' mbona kazi!?
KWENYE PENSHENI KUNA MTU AMEKUTA WAMEMUONGEZEA ELFU 4. LABDA WALIKOSA MAANA PENSHENI HUWA HAINA VITU KAMA HIVYO
 
Ila kiukweli gharama za maisha zimepandwa maradufu,, Hili linabidi liangaliwe kwa jicho la Tatu ili Watumishi muongezewe japo visent
 
Back
Top Bottom