The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mimi ni mpenzi wa Android hasa Samsung miaka mingi na napemda sana hizi high end devices zake.
Ila Samsung ananiangusha kitu kimoja tu, Camera, đź“· yake sio nzuri sana kulinganisha na hata simu za kawaida za Pixel za Google, hata leo wame-launch Note 20 ila sioni kitu cha maana kipya.
Product za kichina zilikua zinakuja vizuri sema vikwazo vya Marekani simu za Kichina sio reliable tena hasa hizi Huawei.
Sasa Mwaka huu nataka ku-test the difference, nijaribu Iphone, nasubiri Iphone 12 zitoke nijichukulie itakayonifaa, obvious nitaenda kwa high end yake.
Kwa wazoefu, nitapata nini na nitapoteza nini?
Ahsante.