Mwaka huu nataka nihamie iPhone, nasubiri iPhone 12. Je, nitakosa nini cha Android?

Mwaka huu nataka nihamie iPhone, nasubiri iPhone 12. Je, nitakosa nini cha Android?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Mimi ni mpenzi wa Android hasa Samsung miaka mingi na napemda sana hizi high end devices zake.

Ila Samsung ananiangusha kitu kimoja tu, Camera, đź“· yake sio nzuri sana kulinganisha na hata simu za kawaida za Pixel za Google, hata leo wame-launch Note 20 ila sioni kitu cha maana kipya.

Product za kichina zilikua zinakuja vizuri sema vikwazo vya Marekani simu za Kichina sio reliable tena hasa hizi Huawei.

Sasa Mwaka huu nataka ku-test the difference, nijaribu Iphone, nasubiri Iphone 12 zitoke nijichukulie itakayonifaa, obvious nitaenda kwa high end yake.

Kwa wazoefu, nitapata nini na nitapoteza nini?

Ahsante.
 
Huawei Yupo vizuri sana ila figisu za Trump zinampoteza,

Naona Note 20 series wame improve kwenye Autofocus, tatizo lililokua kwenye S20 series,
 
Application ulizozoea kutoa nje ya playstore yaani unazipata (Google) huko kwenye android ujue kabsa huku kwenye iPhone hutozipata.

Kama umezoea ku download nyimbo kwenye iPhone ujue kabsa ni ngumu kidogo ila ukiwa mzooefu utaweza.

Kama wewe ni mpenzi wa kusikiliza Radio kwenye iPhone ujue kabsa hamna Redio ya Offline labda mpaka Online.

Kama umezoea Gb whatsapp [emoji38] huku kwetu hayo mambo hayapo huku utakutana na Whatsapp Business na Official Whatsapp.

Kwenye iPhone utafanya inachotaka ila sio wewe unavyotaka[emoji38]. Ukitaka ifanye unachotaka labda ui (jailbreak) kwenye android tunaita ku Root.
 
Siku hizi kuna Ka mwanya jamaa wamebypass na unaweza download toka store nyengine (inaitwa Alt store) kuna app nzuri nzuri huko ambazo kikawaida hutazikuta store kama vile Virtual Machine na Emulators mbalimbali. Sema siku wakiamka vizuri wataziba mwanya wao.
 
Kwa niaba yao naomba uwaelekeze tu namna ya kupata hio kitu iwe faida kwa wengine pia, Nakukubali sana
 
Application ulizozoea kutoa nje ya playstore yaani unazipata (Google) huko kwenye android ujue kabsa huku kwenye iPhone hutozipata.

Kama umezoea ku download nyimbo kwenye iPhone ujue kabsa ni ngumu kidogo ila ukiwa mzooefu utaweza.

Kama wewe ni mpenzi wa kusikiliza Radio kwenye iPhone ujue kabsa hamna Redio ya Offline labda mpaka Online.

Kama umezoea Gb whatsapp [emoji38] huku kwetu hayo mambo hayapo huku utakutana na Whatsapp Business na Official Whatsapp.

Kwenye iPhone utafanya inachotaka ila sio wewe unavyotaka[emoji38]. Ukitaka ifanye unachotaka labda ui (jailbreak) kwenye android tunaita ku Root.
Hivi Iphone za laini 2 zipo? Hata hizi high end?

Halafu naruhusiwa kua na dual applications? Mfano WhatsApp 2? Maana Samsung wanatoa huduma ya Dual application, simu ina laini 2, unatumia WhatsApp 2 official.
 
Huawei Yupo vizuri sana ila figisu za Trump zinampoteza,

Naona Note 20 series wame improve kwenye Autofocus, tatizo lililokua kwenye S20 series,
Figisu zimemtoa barabarani. Sio reliable kabisa.
 
Hivi Iphone za laini 2 zipo? Hata hizi high end?

Halafu naruhusiwa kua na dual applications? Mfano WhatsApp 2? Maana Samsung wanatoa huduma ya Dual application, simu ina laini 2, unatumia WhatsApp 2 official.

Laini 2 zipo iPhone XR na kuendelea...

Kutumia dual application kwenye iPhone hii kitu haiwezekani, labda Upande wa Whatsapp utaweza kupata Whatsapp Business pamoja na Whatsapp Official.
 
Hivi Iphone za laini 2 zipo? Hata hizi high end?

Halafu naruhusiwa kua na dual applications? Mfano WhatsApp 2? Maana Samsung wanatoa huduma ya Dual application, simu ina laini 2, unatumia WhatsApp 2 official.
Ipo whatsapp watusi huko Alt store ambayo ni equivalent ya Gbwhatsapp na wengineo Wa Android. Sema kama nilivyoongea hapo Juu ni Temporary tu hii siku yoyote Apple wanaiziba.
 
Kwa niaba yao naomba uwaelekeze tu namna ya kupata hio kitu iwe faida kwa wengine pia, Nakukubali sana
Mkuu hii ni Alternative store kama Vile ambavyo Android kuna Amazon store, 1mobile market, mi Store etc

Inachofanya inadanganya Server za Apple kama wewe ni developer na kupewa ruhusa ya kudownload application nje ya Store, hivyo kuweza kuchagua App mbalimbali ambazo kikawaida zingekuwa kwenye App store Apple wangeziban.
 
How to get this store?
 
1. hutaweza kusikiliza radio bila bando

3.Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phonr unaitumia hapo hapo

3. andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2.

4.Kudownload nyimbo kwa wepesi sahau

5.Kuhamisha vitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye pc ni shughuli pevu.

6. Apps kibao zipo android kuliko iphone

7. Non restricted access ipo kwa android kwasababu unaweza ku root ukafanya vingi vya ziada, Kwa iphone hapa ni mtihani inabidi uwe mvumilivu.

8. Kwenye android unaweza kutumia simu kama remote kwa vifaa kama samsung, lg ,n.k....huko kwa apple so rahisi labda kwa tv zao za apple tv

9. Android utaweza kuback up vitu vyako kwenye memory card na pia unaweza kubadili battery kwa wepesi bila hata kwenda kwa fundi, lwa iphone hizi feautures sahau.

10. Kwenye i phone ku customize vitu kuna vikwazo, mfano ringtone utachagua tu wanazotaka wao iphone na inakuwa sekunde 30 tu, huku android ringtone uutaweka hata ya kingwendu ni wewe

11. kitaa cha notification hakipo kwenye iphone, mfani message ikiingia kama simu ipo silent huku android kataa kanawaka.

12. hutaweza kuseti default app, utaweza kudownload app mbadala ya kufungua mafaili lakini hutaweza kuiseti iwe ya moja kwa moja, kika ukifungua faili litafunguliwa na app ya mwanzoni

13. huku andoid kuna feauture ya multiple user account, naweza nikatengeneza user yangu na usr ya mtoto, mtoto akiomba simu naweka user yake hataona chochote cha kwenye acxount yangu zaidi ya ishu zake kama games na cartoon, huko i phone inabidi mtoto asimamiwe anapotumia sim asije kwenda kwenye vitu vyako vya kiutu uzima

Chief-Mkwawa endelea
 
Back
Top Bottom