Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Sema kweli mwaka huu 2021 sitarudia tena uzembe wa ku date na pisi za kawaida sana! Nataka challenge mpya nataka nichukue pisi Kali tu na ikiwezekana mmojawapo nivute ndani kabisa!
Mtaji ama chambo nitachotumia ni uongo uongo mwingi na ukweli kidogo maana pisi kali bila chai [emoji477]️ za uongo na kweli utaishia kuchukua pisi mbovu mbovu! Nimechoka kuchukua pisi za kawaida!
N:B,kwenye mchakato huu sitaangalia Akili za mwanamke maana hazijawahi kumpeleka mwanaume popote [emoji28]