Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali ni kwamba kuna yeyote aliyesoma postgraduate diploma ya education na amepata ajira?maana w engine tumo umo mtupe ushuhuda tafadhar au kwa anayefahamu.
kwa mm vyuo ninavyovifahamu ni udsm duce na makumiraHiv Suns ni kwel ukisoma postgraduate ya education una ajiriwa bila shida serikalin?!! na je chuo gan kipo vizur na hiyo coz...
Maana nimetafuta ajira mpaka nimekata tamaa. Naona dawa ni kurud shule tuu.
kwa mm vyuo ninavyovifahamu ni udsm duce na makumira
Karibu SAUT MBEYA
Wameajiriwa wengi tu mwaka huu, ila kwa mwakani wwalimu wa arts itakuwa shughuli pevu kuajiliwa maana kipaumbele watapewa wanaosoma sayansi
Wameajiriwa wengi tu mwaka huu, ila kwa mwakani wwalimu wa arts itakuwa shughuli pevu kuajiliwa maana kipaumbele watapewa wanaosoma sayansi
Rangel, soko la walimu wa arts linaelekea kufloat hasa kwa shule za serikali. kitakachobaki ni halmashauru kujaza nafasi zilizowazi kwa kutangaza ajila badala ya Wizara. Pamoja na kwamba serikali itaendelea kuajili walimu wa arts kwa miaka ya baadaye si kwa uwingi wa walimu wa wanaoajiriwa sasa. Cha msingi hata kama watakuwa wamesitisha we soma tu kwani lazima uajiriwe serikalini? Shika cheti chako, pale fulsa itakapotokeza ya kuajiriwa unakuwa na cheti mkononi tayari
kwa mm vyuo ninavyovifahamu ni udsm duce na makumira