Mwaka huu wameajiri wenye PGDE?

Mwaka huu wameajiri wenye PGDE?

Suns

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
69
Reaction score
14
Swali ni kwamba kuna yeyote aliyesoma postgraduate diploma ya education na amepata ajira?maana w engine tumo umo mtupe ushuhuda tafadhar au kwa anayefahamu.
 
Hiv Suns ni kwel ukisoma postgraduate ya education una ajiriwa bila shida serikalin?!! na je chuo gan kipo vizur na hiyo coz...
Maana nimetafuta ajira mpaka nimekata tamaa. Naona dawa ni kurud shule tuu.
 
Last edited by a moderator:

kwa mm vyuo ninavyovifahamu ni udsm duce na makumira
 
Last edited by a moderator:
Hiv Suns ni kwel ukisoma postgraduate ya education una ajiriwa bila shida serikalin?!! na je chuo gan kipo vizur na hiyo coz...
Maana nimetafuta ajira mpaka nimekata tamaa. Naona dawa ni kurud shule tuu.

Karibu SAUT MBEYA
 
Last edited by a moderator:
Wameajiriwa wengi tu mwaka huu, ila kwa mwakani wwalimu wa arts itakuwa shughuli pevu kuajiliwa maana kipaumbele watapewa wanaosoma sayansi
 
Ndio kuna jamangu km 2 hivi wamepanhiwa vituo.
 
Wameajiriwa wengi tu mwaka huu, ila kwa mwakani wwalimu wa arts itakuwa shughuli pevu kuajiliwa maana kipaumbele watapewa wanaosoma sayansi

Nan kakwambia mkuu, mbona haya maneno yanasemwa kila Mara but watu wanaajiriwa, achen kuwadanganya watu bila kuwa na uthibitisjo wowote
 
Wameajiriwa wengi tu mwaka huu, ila kwa mwakani wwalimu wa arts itakuwa shughuli pevu kuajiliwa maana kipaumbele watapewa wanaosoma sayansi

KIDUNDULIMA hayo maneno yana nikwaza jaman... ukizingatia nilisoma HKL na kadigree kangu nimekaa sana mtaan bila kaz nafikilia kujilipua na postgraduate ya education walau niwasaidie home.
Nakutana na hizo habar.. Habar zenyew cjui za kwel yaan zina zidi ntia stress tuu..

Mungu asimame kwa kwel..
 
Last edited by a moderator:
Rangel, soko la walimu wa arts linaelekea kufloat hasa kwa shule za serikali. kitakachobaki ni halmashauru kujaza nafasi zilizowazi kwa kutangaza ajila badala ya Wizara. Pamoja na kwamba serikali itaendelea kuajili walimu wa arts kwa miaka ya baadaye si kwa uwingi wa walimu wa wanaoajiriwa sasa. Cha msingi hata kama watakuwa wamesitisha we soma tu kwani lazima uajiriwe serikalini? Shika cheti chako, pale fulsa itakapotokeza ya kuajiriwa unakuwa na cheti mkononi tayari
 
thanxs mkuu ingawa ngumu kumeza....
Ngoja niwaze tena..
 
Back
Top Bottom