Mwaka jana nilishindwa kuoa kwa sababu za kijinga kabisaa, nilivunja uchumba na mabinti 7

Hahaha mama junior katisha sana….nilishawahi kupata mmoja kama mama junior ila yeye sasa usiku analia anamkumbuka mama yake aliefariki zamani
 
Fanya TU maamzi magumu, chagua mmoja uishi nae, hakuna mkamilifu chini ya jua.
 

Attachments

  • cf5a58d23fdea7f57ac6db41957852bb.jpg
    97.4 KB · Views: 6
Mkuu mnaendeleaje hapo MULEBA?
 
Hahaha mama junior katisha sana….nilishawahi kupata mmoja kama mama junior ila yeye sasa usiku analia anamkumbuka mama yake aliefariki zamani
Hakuna kitu sipendi kama kuona machozi ya mwanamke
 
Si tulikubaliana kuwa ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu jamani!!
 
Mkuu unayokutana nayo sio peke yako mwanamke wa kuoa unaweza kukutana nae mara moja kwa miaka mitano yaani kuna kipindi unakutana na marue rue matupu yaani vivuruge, break mbupu, shombo za hovyo, kupigiwa live bila chenga ni shida tupu, wife material alipoingia mikononi mwangu ndio akawa mke sikutaka kujuta kabisa kwenye huu ilimwengu uliojaa wadangaji.
 
Hongera zako mkuu
 
Itoshe kusema nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…