Mwaka kwangu unakwisha kwa Majanga

Mwaka kwangu unakwisha kwa Majanga

Huu uzi uko funny na lengo lake ni hili. Msimchukulie serious
 
Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali Bikra

Wanajamvi habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka tutakapofunga harusi na pia ni bikra. Nilipata safari kwa mda nimerudi nimemkuta amejifungua mtoto wa kiume. Nimeshangaa namuuliza kulikoni, anadai mimba hiyo alipewa na malaika.

Nimemwamini ila nikamuambia kama ndivyo basi huyu mtoto atakuwa nabii hivyo amsimamishe ili atembee juu ya maji kama Yesu, akaniambia amefunuliwa ndotoni kuwa mtoto huyo ataanza kufanya maajabu atakapofikisha miaka mitano.

Hapa nimeanza kupata shaka naombeni ushauri!

Bila shaka huyo mchumba ako ni huyu Mariam
Hakika mariam amebeba mimba kweli kutoka kwa malaika, huyo mtoto nadhani mtakuwa mmemuita Emanoel, na bila shaka wewe kazi yako ni carpentaee...basi uwe unaenda nae kwenye kazi zako za ujenzi atakapofikisha hiyo miaka 5
 
Hizi Uzi tusivuke nazo mwak huu
 
Back
Top Bottom