hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
[emoji16]Umebakiza kula jalalani tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16]Umebakiza kula jalalani tu.
Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali Bikra
Wanajamvi habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka tutakapofunga harusi na pia ni bikra. Nilipata safari kwa mda nimerudi nimemkuta amejifungua mtoto wa kiume. Nimeshangaa namuuliza kulikoni, anadai mimba hiyo alipewa na malaika.
Nimemwamini ila nikamuambia kama ndivyo basi huyu mtoto atakuwa nabii hivyo amsimamishe ili atembee juu ya maji kama Yesu, akaniambia amefunuliwa ndotoni kuwa mtoto huyo ataanza kufanya maajabu atakapofikisha miaka mitano.
Hapa nimeanza kupata shaka naombeni ushauri!
Ipo thread moja humu akisifiwa sana uzuri wake.Thread gani kaka
Nasema uongo ndugu zangu?
daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nireteeni gwajima
Kwa kweli hakuna jinsi, balaa zimezidi!Huu mwaka uishe tuu