Mwaka mbaya kwangu siwezi sahau ila mnaweza nipa ushauri na moyo Kama rafiki ye

Mwaka mbaya kwangu siwezi sahau ila mnaweza nipa ushauri na moyo Kama rafiki ye

baracky

Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
63
Reaction score
17
Jamani mwaka huu sito usahahu kwani nahisi kuchanganyikiwa sana sababu matatizo niliopata nahisi kuelemewa kwanza nilipata bahati ya kujiunga na Chuo kikuu lakini sikupata mkopo hata kidogo Ada 1.9milion kinachonichanganya sina pakukaa hostel laki 3 kwa mwezi sijui nifanyeje nauli ni 3000 kwa siku posta- tegeta na pili nimetapeliwa laptop mbili nadaiwa ndio kinaniumiza kichwa zaidi ni dell Tatu mpenzi Wangu ametokea kumi kunichukia ghafla so siko nae tena sijui nitaishije hapa mjini nisaidieni hata Kama kuna mtu anaweza pata chumba cha kawaida maeneo ya kuanzia manzese,magomeni, nisaidie sababu Chuo ni ghali sana sijui niite mwaka gani kwangu
 
Pole jamani Life has UPS and DOWN kuna mda mambo yanatokea u wish u were not born

lakin ndio changamoto za maisha tulizoumbiwa binadam,kukosana na mpenzi ndo kunakufanya

ujiulize utaishije hapa mjini!!!!!!!!
 
Pole jamani Life has UPS and DOWN kuna mda mambo yanatokea u wish u were not born

lakin ndio changamoto za maisha tulizoumbiwa binadam,kukosana na mpenzi ndo kunakufanya

ujiulize utaishije hapa mjini!!!!!!!![/QUOT
Maisha gani nitaishi hapa mjini
 
Waza kwanza masomo; huyo demu naye anakupa presha; heee we vipi kwani.

......... laptop ......... pole kwa kutapeliwa .......... mjini ni lazima uwe makini.

Nauli/chumba ndo changamoto ........ nenda na kurudi home siku za kwanza;
ukiwa chuo utakutana na wenzio wenye shida kuliko hata zako hivyo mtashare.

............ be strong bhana.
 
tena wewe mwanaume!!nakumbuka chuo hostel walikuwa wanalala rum zaidi ya 16 wanapeana ratiba ya kulala.Sasa wewe we unataka peke yako hutoweza nenda chuo piga shule jiachanganye wanaume hostel hawanaga noma wanabebaba mpaka kwenye korido unless uwe muuza sura.
 
ndo maisha ya mjini ukikaukiwa na kila siku malalamiko matatizo wewe lazima ukimbiwe so usipate prresha utakimbiwa sana sana tu hayo yasikupe presha concenctrate on your future Education.
 
Waza kwanza masomo; huyo demu naye anakupa presha; heee we vipi kwani.

......... laptop ......... pole kwa kutapeliwa .......... mjini ni lazima uwe makini.

Nauli/chumba ndo changamoto ........ nenda na kurudi home siku za kwanza;
ukiwa chuo utakutana na wenzio wenye shida kuliko hata zako hivyo mtashare.

............ be strong bhana.

Unayosema ni kweli lakini chuo cha ifm wanazingua sana kwenye ishu ya kulala labda ingekuwa UDSM pale hamna noma sana mm
 
tena wewe mwanaume!!nakumbuka chuo hostel walikuwa wanalala rum zaidi ya 16 wanapeana ratiba ya kulala.Sasa wewe we unataka peke yako hutoweza nenda chuo piga shule jiachanganye wanaume hostel hawanaga noma wanabebaba mpaka kwenye korido unless uwe muuza sura.

Inategemea na Chuo dada yangu ingekuwa ardhi au udsm kidogo hawafuatilii swala la kulala ila ifm wanazingua sana hata kuingia room za hostel Kama huna hostel ID huruhusiwi
 
Pole kwa yaliyokukuta,ila usione unaonewa na Muumba,angalia matatizo ya walio chini yako kiuwezo,nadhani unaweza ukajiona wewe ni Bakhresa kwao.
Nalog off
 
Pole kwa yaliyokukuta,ila usione unaonewa na Muumba,angalia matatizo ya walio chini yako kiuwezo,nadhani unaweza ukajiona wewe ni Bakhresa kwao.
Nalog off

Sawa ngoja nimbe Mungu ila huyu mtu aliyenitapeli siku nikimuona sijui nitamfanyaje
 
Inategemea na Chuo dada yangu ingekuwa ardhi au udsm kidogo hawafuatilii swala la kulala ila ifm wanazingua sana hata kuingia room za hostel Kama huna hostel ID huruhusiwi

siku hizi baada ya wanafunzi wa hostel kuibiwa sana block c walikuwa wanalala zaidi ya kumi changa na wenzio mkodi gheto peke yako majanga
 
hakuna mtu aliyesoma kwa raha sisi watoto wa wakulima
 
hakuna mtu aliyesoma kwa raha sisi watoto wa wakulima

Poa poa but nitaangalia Kama nikipata rafiki wa kukaa nae but sijui Kama naweza pata mana watoto wengi pale wanajifanya wakishua ukipata ni mmoja kwa kumi
 
Ni PM nikutafutie chumba cha 50000 kinondoni,ni bei rahisi sana usafiri wa posta!!
 
Ni PM nikutafutie chumba cha 50000 kinondoni,ni bei rahisi sana usafiri wa posta!!

hiyo ni kodi ya mwaka au ya mwezi??afu umeshasoma thread umemuelewa mwenzio??kakuambia tatizo rum au nini??kama tatizo rum angeenda kwa madalali.
Mda mwingine kudandia mada bila kusoma mbaya sana rudi soma upya topic wewe unaona 50,000 ndogo......ngoja niishie hapa
 
Poa poa but nitaangalia Kama nikipata rafiki wa kukaa nae but sijui Kama naweza pata mana watoto wengi pale wanajifanya wakishua ukipata ni mmoja kwa kumi

usijali taratibu wangu naelewa mazingira ya hapo ila kamwe usikate tamaa we komaa utamaliza matatizo yakizidi sana hujapata ufumbuzi waone IFMSO huwa wanafungu la kusaidia wanafunzi pale kama uongozi mzuri siyo mafisadi pia warden sijui bado ni Mushi ana moyo wa kusaidia na kuelewa.
Taratibu utawapata wa kuchanganao
 
Thax mtu Wangu kwa ushauri wako
 
Pole sana best ndo maisha hayo una budi kuvumilia kwani maisha kuna mapito mengi huna budi kushinda zidi kumwomba mungu na mtumaini yeye utapata backthrough ya matatizo yako
don't giveup
jamani mwaka huu sito usahahu kwani nahisi kuchanganyikiwa sana sababu matatizo niliopata nahisi kuelemewa kwanza nilipata bahati ya kujiunga na chuo kikuu lakini sikupata mkopo hata kidogo ada 1.9milion kinachonichanganya sina pakukaa hostel laki 3 kwa mwezi sijui nifanyeje nauli ni 3000 kwa siku posta- tegeta na pili nimetapeliwa laptop mbili nadaiwa ndio kinaniumiza kichwa zaidi ni dell tatu mpenzi wangu ametokea kumi kunichukia ghafla so siko nae tena sijui nitaishije hapa mjini nisaidieni hata kama kuna mtu anaweza pata chumba cha kawaida maeneo ya kuanzia manzese,magomeni, nisaidie sababu chuo ni ghali sana sijui niite mwaka gani kwangu
 
Kweli Mungu hamtupi mja wake nashukuru Mungu nimepata sehemu ya kuishi nawapenda wote marafiki zangu mliokuwa mkinifariji hasa kwa kipindi hiki kigumu asanteni sana kwa kunipa moyo hakuna linaloshindikana chini ya Jua Mungu ashukuriwe sana
 
Back
Top Bottom