Pole jamani Life has UPS and DOWN kuna mda mambo yanatokea u wish u were not born
lakin ndio changamoto za maisha tulizoumbiwa binadam,kukosana na mpenzi ndo kunakufanya
ujiulize utaishije hapa mjini!!!!!!!![/QUOT
Maisha gani nitaishi hapa mjini
Waza kwanza masomo; huyo demu naye anakupa presha; heee we vipi kwani.
......... laptop ......... pole kwa kutapeliwa .......... mjini ni lazima uwe makini.
Nauli/chumba ndo changamoto ........ nenda na kurudi home siku za kwanza;
ukiwa chuo utakutana na wenzio wenye shida kuliko hata zako hivyo mtashare.
............ be strong bhana.
tena wewe mwanaume!!nakumbuka chuo hostel walikuwa wanalala rum zaidi ya 16 wanapeana ratiba ya kulala.Sasa wewe we unataka peke yako hutoweza nenda chuo piga shule jiachanganye wanaume hostel hawanaga noma wanabebaba mpaka kwenye korido unless uwe muuza sura.
Pole kwa yaliyokukuta,ila usione unaonewa na Muumba,angalia matatizo ya walio chini yako kiuwezo,nadhani unaweza ukajiona wewe ni Bakhresa kwao.
Nalog off
Inategemea na Chuo dada yangu ingekuwa ardhi au udsm kidogo hawafuatilii swala la kulala ila ifm wanazingua sana hata kuingia room za hostel Kama huna hostel ID huruhusiwi
hakuna mtu aliyesoma kwa raha sisi watoto wa wakulima
Ni PM nikutafutie chumba cha 50000 kinondoni,ni bei rahisi sana usafiri wa posta!!
Poa poa but nitaangalia Kama nikipata rafiki wa kukaa nae but sijui Kama naweza pata mana watoto wengi pale wanajifanya wakishua ukipata ni mmoja kwa kumi
usijali taratibu wangu naelewa mazingira ya hapo ila kamwe usikate tamaa we komaa utamaliza matatizo yakizidi sana hujapata ufumbuzi waone IFMSO huwa wanafungu la kusaidia wanafunzi pale kama uongozi mzuri siyo mafisadi pia warden sijui bado ni Mushi ana moyo wa kusaidia na kuelewa.
Taratibu utawapata wa kuchanganao
jamani mwaka huu sito usahahu kwani nahisi kuchanganyikiwa sana sababu matatizo niliopata nahisi kuelemewa kwanza nilipata bahati ya kujiunga na chuo kikuu lakini sikupata mkopo hata kidogo ada 1.9milion kinachonichanganya sina pakukaa hostel laki 3 kwa mwezi sijui nifanyeje nauli ni 3000 kwa siku posta- tegeta na pili nimetapeliwa laptop mbili nadaiwa ndio kinaniumiza kichwa zaidi ni dell tatu mpenzi wangu ametokea kumi kunichukia ghafla so siko nae tena sijui nitaishije hapa mjini nisaidieni hata kama kuna mtu anaweza pata chumba cha kawaida maeneo ya kuanzia manzese,magomeni, nisaidie sababu chuo ni ghali sana sijui niite mwaka gani kwangu
usimfanye kitu huyo TP ukimuona ila siku nyengine usikubali kutapeliwa.Sawa ngoja nimbe Mungu ila huyu mtu aliyenitapeli siku nikimuona sijui nitamfanyaje