Mwaka mgumu: Kwa onyo hili, serikali lazima ifungue kanisa la Gwajima

Mwaka mgumu: Kwa onyo hili, serikali lazima ifungue kanisa la Gwajima

Hivi hawa wanaojiita Manabii,hua hawatabiri mambo mema?

Kila mara hua wanatabiri majanga tu.
 
Nimekaa hapa nafuatilia kwa kina kitakachotokea ndani ya siku 90 endapo serikali itakaidi AMRI HII ya ndugu Rolinga. KUMBUKA NI AMRI SIO OMBI.

MKIFUNGUA TUTAJUA MMEOGOPA.
MSIPOFUNGUA TUTAONA KITAKACHO TOKEA.

Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio watafuata unabii kanisani achaneni na makanisa ya manabii tafuteni ya waabuduo tu

Mikanisa ya kinabii ya kijinga inajikita zaidi kwenye mambo ya kidunia badala ya mambo ya mbinguni

Kutwa kuongelea dunia na mambo ya dunia tu

Waumini hameni hiyo mikanisa ya kinabii nendeni kwenye mskanisa waabudu Mungu tu na kuondoka zako

Achaneni na hao wapuuzi manabii ambao kutwa kuongelea ya duniia tu na fahari zake wafuasi wa shetani hai Wanataka watu tu wasali waonyeshwe tu fahari za dunia na vitu vya dunia.mara naona Samia mara ohh naona mwaka huu utapata gari na nyumba mara ohh naona CCM inaanguka na Chadema inashika mara ooh naona bibi yako kakuroga

Ujinga mtupu ni wakati wa waumini kushtuka na kuhama hiyo mikanisa ya waona dunia na fahari zake na vilivyomo duniani

Tafuta kanisa ambalo unaabudu Mungu tu na kuondoka zako sio kusikiliza porojo za hao wanga wawinda pesa na mali za dunia kupitia kivuli cha unabii

Yesu alisema Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio kufuata nabii au chochote
 
Watu hawatishiki tena na hawa mitume wa kujibatiza... self-proclaimed Bishops!
Jidanganyeni na uchawa wenu wa kusaka tonge kwa wakuu utajionea kitakacho tokea,unao washabikia wenyewe washaona wamekosea sasa wanatafuta mlango wa kutokea mengine hatusemi hapa nyie wemoyo jiwe mtajionea.
 
Jidanganyeni na uchawa wenu wa kusaka tonge kwa wakuu utajionea kitakacho tokea,unao washabikia wenyewe washaona wamekosea sasa wanatafuta mlango wa kutokea mengine hatusemi hapa nyie wemoyo jiwe mtajionea.
watu wachoyo wa madaraka, addicts a madaraka hawatishiki na hayo....... Unajua kuna wato do not believe in the existende of God? huyo utamtisha aache kuvuruga uchaguzi?
 
Back
Top Bottom