DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
YesKwa hiyo ni wasanii tu?
Ukiona MTU anatabili na mambo yanatokea ujue kafikishiwa taarifa na endapo utabiri ukitimia anapata wafuasi na kupiga hela.
So ukisikia wanasem mwezi huu na wanane litatokea hill fahamu litatokea kwakuwa wapo na taarifa from the credible sources
Tithii