Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Watu hawatishiki tena na hawa mitume wa kujibatiza... self-proclaimed Bishops!Nimekaa hapa nafuatilia kwa kina kitakachotokea ndani ya siku 90 endapo serikali itakaidi AMRI HII ya ndugu Rolinga.
Kwani yeye ni Mungu?Nimekaa hapa nafuatilia kwa kina kitakachotokea ndani ya siku 90 endapo serikali itakaidi AMRI HII ya ndugu Rolinga. KUMBUKA NI AMRI SIO OMBI.
MKIFUNGUA TUTAJUA MMEOGOPA.
MSIPOFUNGUA TUTAONA KITAKACHO TOKEA.
Hahahaaaa. Huyu nadhani aliwahi kusema JPM atafariki.Watu hawatishiki tena na hawa mitume wa kujibatiza... self-proclaimed Bishops!
Tangu lini ponjoro akaenda kanisani jumapili? Ponjoro ni mchezesha kamari.Kwani yeye ni Mungu?
Ni nani katika hii Nchi
Ponjoro jana hujaonekana kanisani😁
Mtume gani alikuingilia kimwili mkuu?Hhhhhhhh wakristo na mitume wenu wazinifu tushawazoea
😁😁😁😁Tangu lini ponjoro akaenda kanisani jumapili? Ponjoro ni mchezesha kamari.
Hao mitume wengi ni tithiii they predicts what they knowWatu hawatishiki tena na hawa mitume wa kujibatiza... self-proclaimed Bishops!
Pole sana ukweli unaumaMtume gani alikuingilia kimwili mkuu?
Kwa hiyo ni wasanii tu?Hao mitume wengi ni tithiii they predicts what they know
Pole kwa kuingiliwa na mtume mkuu.Pole sana ukweli unauma
Pole ya nn taja jina la mtume ikewezekana na ushahidi kua alikuingilia kimwiliPole sana ukweli unauma
Ukahaba wako tu unakusumbua umewabong'olea mwenyewe sasa wangefanyaje kama siyo kukuweka kitu.Hhhhhhhh wakristo na mitume wenu wazinifu tushawazoea
Then if tithii are themselves Bishops, they have got nothing to prevent unless they are used as traps!tithiii
Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio watafuata unabii kanisani achaneni na makanisa ya manabii tafuteni ya waabuduo tuNimekaa hapa nafuatilia kwa kina kitakachotokea ndani ya siku 90 endapo serikali itakaidi AMRI HII ya ndugu Rolinga. KUMBUKA NI AMRI SIO OMBI.
MKIFUNGUA TUTAJUA MMEOGOPA.
MSIPOFUNGUA TUTAONA KITAKACHO TOKEA.
Being Bishop is side hustle businessThen if tithii are themselves Bishops, they have got nothing to prevent unless they are used as traps!
Jidanganyeni na uchawa wenu wa kusaka tonge kwa wakuu utajionea kitakacho tokea,unao washabikia wenyewe washaona wamekosea sasa wanatafuta mlango wa kutokea mengine hatusemi hapa nyie wemoyo jiwe mtajionea.Watu hawatishiki tena na hawa mitume wa kujibatiza... self-proclaimed Bishops!
watu wachoyo wa madaraka, addicts a madaraka hawatishiki na hayo....... Unajua kuna wato do not believe in the existende of God? huyo utamtisha aache kuvuruga uchaguzi?Jidanganyeni na uchawa wenu wa kusaka tonge kwa wakuu utajionea kitakacho tokea,unao washabikia wenyewe washaona wamekosea sasa wanatafuta mlango wa kutokea mengine hatusemi hapa nyie wemoyo jiwe mtajionea.