DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
YesKwa hiyo ni wasanii tu?
Kwahiyo atakufa?Yes
Ukiona MTU anatabili na mambo yanatokea ujue kafikishiwa taarifa na endapo utabiri ukitimia anapata wafuasi na kupiga hela.
So ukisikia wanasem mwezi huu na wanane litatokea hill fahamu litatokea kwakuwa wapo na taarifa from the credible sources
Tithii
PonjoroKwahiyo atakufa?
Mgumu kwako ww bwege. Huyo lofa ni nani? Mwaka huu kwl utakuwa mgumu kwa wapumbavu km ww maana mtaokoteza kila uchafu, mtaokoteza kila kioja, mtaokoteza kila uzushi. Mtafika mwisho wa mwaka mmechoka sana!Nimekaa hapa nafuatilia kwa kina kitakachotokea ndani ya siku 90 endapo serikali itakaidi AMRI HII ya ndugu Rolinga.
Kumbuka ni amri sio ombi. Mkifungua tutajua mmeogopa.
Msipofungua tutaona kitakachotokea.
NaamPonjoro
Kumbe ni hicho kibwengo? Kwl tumevamiwa na viumbe wa ajabu huku mitandaoni.Nimekaa hapa nafuatilia kwa kina kitakachotokea ndani ya siku 90 endapo serikali itakaidi AMRI HII ya ndugu Rolinga.
Kumbuka ni amri sio ombi. Mkifungua tutajua mmeogopa.
Msipofungua tutaona kitakachotokea.
Weka namba nikutumie hela ya mihogo mkuu unywe na maji hasira ipungue.M
Mgumu kwako ww bwege. Huyo lofa ni nani? Mwaka huu kwl utakuwa mgumu kwa wapumbavu km ww maana mtaokoteza kila uchafu, mtaokoteza kila kioja, mtaokoteza kila uzushi. Mtafika mwisho wa mwaka mmechoka sana!
Matapeli tu haya yanaibia wapumbavu. Mwangalie ht macho yake.Watu hawatishiki tena na hawa mitume wa kujibatiza... self-proclaimed Bishops!
Tuliza ****** huoMtume gani alikuingilia kimwili mkuu?
Jana nimesikiliza hili onyo nikaogopa sanaNimekaa hapa nafuatilia kwa kina kitakachotokea ndani ya siku 90 endapo serikali itakaidi AMRI HII ya ndugu Rolinga.
Kumbuka ni amri sio ombi. Mkifungua tutajua mmeogopa.
Msipofungua tutaona kitakachotokea.
Taja huyo mtume aliye kuingilia kimwili mkuu.T
Tuliza ****** huo
Mema yapi sasa wakati watu wabakufa?Hivi hawa wanaojiita Manabii,hua hawatabiri mambo mema?
Kila mara hua wanatabiri majanga tu.
Hahahaaa, alitaka waseme mama anaupiga mwingi.Mema yapi sasa wakati watu wabakufa?
Msimtanie Mungu! Subirini kitakachotokea na sio yeye tu amesema.Watu hawatishiki tena na hawa mitume wa kujibatiza... self-proclaimed Bishops!