Mwaka mmoja baada ya Magufuli kufariki: TEMESA wanafeli kufanyia ukarabati vivuko vyao. Hii ni harufu ya ufisadi. TANROADS inafanya nini?

Lake zone ni kanda ya wanaume wa shoka, ccm mkimleta huyu bibi mtaambulia za uso 2025
 
Awamu yake Magufuli kivuko cha Mv Nyerere kiliua watu zaidi ya 200 unapata wapi nguvu ya kumsifia kwenye nyanja hiyo?

Bora uhai kuliko kujifanya sijui mzalendo ,unawanyima wenye uwezo kutoa huduma huku huduma zako ni mbovu na mwisho wa siku unaua watu.
 
Na tunakumbuka lile chumachakavu MV Dar es Salaam alilokwenda kulificha jeshini kuwafunga mdomo watu wasihoji ufisadi wake

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapo mnasema huyu alikua kiongozi mzuri?

Kila kitu alitaka aonekane kafanya yeye hata kama sio mtaalam.

Rejea yale majibizano na yule mzee pale hospital Dodoma.
 
TANROAD hawahusiki na vivuko mkuu
 
Good
 
Watu hawaogopi tena kuibaa hilo ndo tatizo
 

Mwaka mmoja uongozi wa Samia, TEMESA wanafeli kufanyia ukarabati vivuko vyao.​

 
Si kweli kwamba hakuwashirikisha. Tatizo hapa ni kutaka viwe vya maslahi ya umma, wakati manyang'au yanaona upigaji wao unapotea.

Nchi ilikuwa ya wapigaji, magu asingekubalika hata angetenda mema kiasi gani.
 
Chanzo cha ajali ya Mv Nyerere ilikuwa nini? Tumia akili kujadilili ishu za wanaume
 
..alikuwa " one man show . "

..serikali na chama vilikuwa mali yake.

..nchi na raia wote walikuwa kama miliki yake.
Hujajibu swali, angemshirikisha nani kwa mfano?
 
Chanzo cha ajali ya Mv Nyerere ilikuwa nini? Tumia akili kujadilili ishu za wanaume
Ukitumia akili yako vizuri huwezi kuisifia awamu ambayo ilitokea ajali dhidi ya ambayo haijatokea hata kama sababu haikuwa ubovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…