ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Official nchi ipo mikononi mwa matajiriLeo hii baada mzee baba kuondoka na Mhandisi Mfugale kuondoka kwa utata wa mkubwa ambao ulishangaza dunia nzima. Leo hii Temesa wameanza fyongo. Maana kazi ndogo kama service sio ya kusababisha serikali kukodisha vivuko kwa gharama kubwa.
Hapa kutakuwa na namna.
Watanzania huu ndio wakati wa kutwangwa vitu vizito.
vi👇View attachment 2259792