Mwaka mmoja baada ya Magufuli kufariki: TEMESA wanafeli kufanyia ukarabati vivuko vyao. Hii ni harufu ya ufisadi. TANROADS inafanya nini?

Official nchi ipo mikononi mwa matajiri
 
Si kweli kwamba hakuwashirikisha. Tatizo hapa ni kutaka viwe vya maslahi ya umma, wakati manyang'au yanaona upigaji wao unapotea.

Nchi ilikuwa ya wapigaji, magu asingekubalika hata angetenda mema kiasi gani.

..mbona majizi yote ndani ya Ccm bado yanadunda.

..alikuwa anashughulikia wapinzani tu.

..Kwa mfano, Sumaye alipohamia upinzani akanyang'anywa mashamba yake.

..Kwanini hatukusikia wana-Ccm wakinyang'anywa mashamba?

..Wana-Ccm waliosaini mikataba mibovu ya madini na nishati hakuna hata mmoja aliyeshtakiwa. Je, walichofanya hakikuwa usaliti kwa nchi?

..Tatizo la yule bwana lilikuwa ni wapinzani tu. Sijui kwanini aliwachukia kwa kiwango kile.
 
Kamfufue uzikwe wewe ili aje avitengeneze?
Unaweza kutuambia ile meli ya magufuli ipo wapi? Unaweza kutuambia gharama tulichopata kwa ile meli ya wachina the so called samaki wa magufuli.
Yule keshakuwa mfu anayekereka akamfufue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…