Mwaka mmoja bila Magufuli: Je, Demokrasia na Uhuru wa kujieleza vimezidi kuimarika, vimepungua au tuko palepale alipotuacha?

HAKUNA JIPYA,WATU WANAKULA KWA UREFU WA KAMBA ZAO
 
Demokrasia imepata nafuu ndogo.. lakini uwajibikaji umeshuka kiwango Cha kutisha..
Mimi naona Bora huyu kuliko dikteta JIWE..
 
Kwakweli kwenye uhuru wa kujieleza Mh. Rais anapata 100% tatizo linakuja pale ambapo je tukieleza watendaji wana respond? Au ndiyo timebakia kelele z mlango hazimkoseshi usingizi mwenye nyumba? Uhuru wa kujieleza uendane na kusikia kisha kuyatendea yale ambayo yanalalamikiwa na wengi.
 
Awe mwehu kuzidi baba na mama yako?Mbona unataka kutudanganya
 
Inategemea maana ya demokrasia unaitafsiri vipi. Wengine huamini kuwa demokrasia ni uhuru wa kufanya fujo yoyote mradi iwe ya kisiasa na kusha ile element ya kutovunja sheria. Lakini nchi zenye demokrasia iliyokomaa kama Kanada hawaamini hivyo; wale walioleta fujo kwa kufunga daraja kugomea chanjo huko Ottawa walikipata kule cha mtema kuni kwa vile walikuwa wanavuja sheria.
 
Acha masihala mkuu 👇





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…