Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
yupo wapi musiba? yule bingwa wa matusi aliyelindwa na wanausalama?
hata magufuli alishawahi kununua nyumba/maghorofa mawili ya NIC kwa laki 6 kila moja kule area D dodoma.Ardhi ya Wamaasai tumewauzia Waarabu.
Ghorofa mbili tena alizonunua Mtanzania mwenzetu unalinganisha na Watanzania kunyang'anywa ardhi yao halafu wanauziwa Waarabu! Are you sane?hata magufuli alishawahi kununua nyumba/maghorofa mawili ya NIC kwa laki 6 kila moja kule area D dodoma.
aliwauzia nyumba za umma hawala zake kina kajala yle mwalimu mmiliki wa kebys
Kamfufueni
Sabaya sasa hv kwa kweli ana hali mbaya, miaka 30 siyo mchezo, guide mkubwa alifikiri shwetani mwenzake ataishi milele, Mungu fundiVipi lile gaidi lenu la makengeza linaloliwa tigo gerezani
Amina!!Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Three the Hard Way
Katoro - Geita!
Sijui unachoamini ila siasa isikufanye ukachukua nafasi ya Mungu.Ninasikia ule moto wa Jehanam hauzoeleki, kila leo unaona afadhali ya jana.