Mwaka mmoja tangu nihamie mitaa hii nimeamini jehanam na pepo vyote viko duniani

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Nimezaliwa mitaa yenye ustaarabu, nikakulia nje ya mji,nikaanza maisha uswazi na kwenye slums,nimewahi kuwa homeless kwa miezi kadhaa hapa nchini na nje ya nchi, nimeishi mikoani vijijini kabisa huko wilayani,itoshe kusema jehanam ipo hapa hapa duniani na pepo ipo hapa hapa duniani

Stori za kwenye Biblia na Quran kuwa kuna moto na pepo huko mbinguni ni uongo,pepo na jehanam viko humuhumu dunuanii,baada ya kuwa kuhamia ushuani japo ni single room, maishaya wananizunguka, kwa mwaka mzima sijasikia habari yoyote ya msiba kwa majirani.

Kule Simiyu haumalizi mwezi bila kusikia poromondo au mwano,ni either kuna msiba kwenye nzengo au kuna wizi umetokea usiku,na mwano ukipigwa lazima muamke wote kuitikia na mtaorodheshwa majina na balozi wa nyumba kumi,kama hukurespond ni fine.

Uchagani nako nilishangaa baba mtu mzima akiadhibiwa kwa fimbo adharani kwa kosa la kumtukana ndugu yake.

Ushuani hakuna hayo mambo.

Nikiwa homeless nilikuwa nikiishi manzese ndio nilijifunza kula utumbo na miguu ya kuku,dunia ina mambo.

Vijana tafuteni hela muionje pepo mliyoahidiwa.
 
Kama sijakosea, Point yako ni Maisha Mazuri ndo Pepo na Uswazi hakuna Pepo .

Yea, uko Sahihi Big man. Pesa ndo Pepo
 
Nami nataka niende kwenye huo mtaa wenye pepo hapa duniani
 
Nimezaliwa mitaa yenye ustaarabu, nikakulia nje ya mji,nikaanza maisha uswazi na kwenye slums,nimewahi kuwa homeless kwa miezi kadhaa hapa nchini na nje ya nchi, nimeishi mikoani vijijini kabisa huko wilayani,itoshe kusema jehanam ipo hapa hapa duniani na pepo ipo hapa hapa duniani

Stori za kwenye Biblia na Quran kuwa kuna moto na pepo huko mbinguni ni uongo,pepo na jehanam viko humuhumu dunuanii,baada ya kuwa kuhamia ushuani japo ni single room, maishaya wananizunguka, kwa mwaka mzima sijasikia habari yoyote ya msiba kwa majirani.

Kule Simiyu haumalizi mwezi bila kusikia poromondo au mwano,ni either kuna msiba kwenye nzengo au kuna wizi umetokea usiku,na mwano ukipigwa lazima muamke wote kuitikia na mtaorodheshwa majina na balozi wa nyumba kumi,kama hukurespond ni fine.

Uchagani nako nilishangaa baba mtu mzima akiadhibiwa kwa fimbo adharani kwa kosa la kumtukana ndugu yake.

Ushuani hakuna hayo mambo.

Nikiwa homeless nilikuwa nikiishi manzese ndio nilijifunza kula utumbo na miguu ya kuku,dunia ina mambo.

Vijana tafuteni hela muionje pepo mliyoahidiwa.
Kabla ya kuhamia manzese ulikuwa ukimwona kuku unajua hana utumbo wala miguu!!!!
 
Back
Top Bottom