Uko sahihi ushabiki wa Mpira ni kujiweka kwenye kundi la watu wa lowWakuu...
Mimi nilikuwaga ni shabiki wa mpira ila tangu nimeachana na mamipira nimegundua nilikuwa na lost mda wa maana, na mambo ambayo hayana msaada!
hatimae leo muda huu,Wakuu...
Mimi nilikuwaga ni shabiki wa mpira ila tangu nimeachana na mamipira nimegundua nilikuwa na lost mda wa maana, na mambo ambayo hayana msaada!

Wawekezaji wanapiga hela wewe unalala na mawazo😀😀Kweli mkuu, yani unajipa mastress ambayo hayana maana kisa timu imefungwa tu...
Hahahahhhh nimetoka church mkuu, nikakuta home wameweka limpila nimepitiliza mpaka chumbani nikachukua zangu koti nikatoka nje nikaanza kutype JF tu till now.hatimae leo muda huu,
magoli ya simba na yanga yamekurejesha kileleni mwa wafuatilia mpira right?![]()
huenda church leo ulikua pekeyako tu kupiga mapambio kwasababu ni wazi wapendwa wengi wapo kushuhudia dabiHahahahhhh nimetoka church mkuu, nikakuta home wameweka limpila nimepitiliza mpaka chumbani nikachukua zangu koti nikatoka nje nikaanza kutype JF tu till now.
Bush Dokta

Dah... Uefa nilikuwaga sikosi aisee, hata highlight nitafatilia tu hata kama mechi niya usiku sijaicheki.... But now naona hakuna nilichogain zaidi ya kukumbuka magoli ya tik tak ya kina galeth bale tu ndo yamejaa kwenye ubongo wanguYa bongo sawa Haina maana ila ya ulaya Iko poa sana
UNapataje stress wakati wachezaji na makocha wanalipwa hata wakifungwa?Kweli mkuu, yani unajipa mastress ambayo hayana maana kisa timu imefungwa tu...
Mkuu wewe acha tu unajua ile kubishana na mtu unajitamba timu yako noma halafu inapigwaUNapataje stress wakati wachezaji na makocha wanalipwa hata wakifungwa?
Ukiwa shabiki mjanja unakua na timu kadhaa wewe muda wote unashangilia tu
Hata mimi nilianzaga hivi hivi mkuu, japokuwa kwenye game kubwa ziliniwia ugumu kuziacha kama final duh... yaan hapa stamico wanapiga kelele kwanza wananikera tu na miboda yao.Mim nafatiliaga mara moja moja nataman kuacha kabsa kama leo sijaagalia mpira najipa mazoezi ya kuacha.
nije tuwachagie tuwapige makonde?Hata mimi nilianzaga hivi hivi mkuu, japokuwa kwenye game kubwa ziliniwia ugumu kuziacha kama final duh... yaan hapa stamico wanapiga kelele kwanza wananikera tu na miboda yao.
Bora nirudi kijijini mkuu kwa kina Equation x yaaan hapa nifujo mkuu.. tena tulivyo karibu na barabara balaa tupu.nije tuwachagie tuwapige makonde?
Duh... Wewe ni hatareee mkuu, tangu 1230 till now huu ni zaidi ya uraibu...Mimi napenda michezo kwa jumla. Football inanifanya nisizurule weekend. Kama leo nimeangalia
1230 Arsenal vs Leeds
1700 Chelsea vs Bournemouth
1930 Man Utd vs Spurs
Sasa hivi nasubiri Real Madrid