Zerock
JF-Expert Member
- Sep 3, 2026
- 853
- 1,701
Ila unafatilia connection za mmakondeWakuu...
Mimi nilikuwaga ni shabiki wa mpira ila tangu nimeachana na mamipira nimegundua nilikuwa na lost mda wa maana, na mambo ambayo hayana msaada!
Ila unafatilia connection za mmakondeWakuu...
Mimi nilikuwaga ni shabiki wa mpira ila tangu nimeachana na mamipira nimegundua nilikuwa na lost mda wa maana, na mambo ambayo hayana msaada!
Actually ni 1430 sio 1230Duh... Wewe ni hatareee mkuu, tangu 1230 till now huu ni zaidi ya uraibu...
Wengi wao ni wavivu wa kulima na kufugaBora nirudi kijijini mkuu kwa kina Equation x yaaan hapa nifujo mkuu.. tena tulivyo karibu na barabara balaa tupu.
Wawekezaji wanapiga hela wewe unalala na mawazo😀😀
Rumi ya kale watawala walikuwa wanawasahaulisha watu mambo ya msingi kupitia michezo.Wakuu...
Mimi nilikuwaga ni shabiki wa mpira ila tangu nimeachana na mamipira nimegundua nilikuwa na lost mda wa maana, na mambo ambayo hayana msaada!
Duh... hii kitu nimeshaisikia kwa pr. mbaga shukuran mkuu!Rumi ya kale watawala walikuwa wanawasahaulisha watu mambo ya msingi kupitia michezo.
Ndio maana walikuwa wanajenga arenas kwa ajili ya michezo ya gladiators. Pale ambapo walikuwa wanahisi wananchi wana jambo ambalo linaweza kuhatarisha utawala wao basi walikuwa wakiandaa hizo burudani na wananchi walisahau kila kitu